Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,743
tutulie tu dawa ituingie vizuri ๐๐๐๐๐ basi tujiandae kwa yajayo mkuu.
Hela inatupwa vipi? Ukiringa inatafutwa pisi ingine inapewa ๐[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani hadi kuja kuchukua hiyo miwani nitakuwa sina hata Senti,shauri yako[emoji1787],hela zenyewe za manati hizi[emoji16].
Hiyo Baileys ni tamu kama soda?
Nahofia usije tupa hela yako bure kama ulivyotupa ile siku[emoji16].
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu wewe sio wa kuomba lift bwana[emoji41] ila Mungu ni mwema nimefika salama sema trip hii gari imekunywa wese sanaamkuu umenibania lift
Ahsante mkuu nimefika salamaSafari njema
Embu tupe heshima yetu wakemia wa kvant mkuu [emoji23]Wenzetu wanatumia Biofuel inayotoka kwenye molasses za Viwanda vya sukari, uchafu wa Viwanda vya vyakula.
Sisi Chemistry yetu tunatumia kumix Energy/Soda na Kvant.
Engine gani? Cc ngapi? Kmpl ngapi?Mkuu wewe sio wa kuomba lift bwana[emoji41] ila Mungu ni mwema nimefika salama sema trip hii gari imekunywa wese sanaa
Ni spacio 1nz nimetembea kl 944 nimeweka mafuta ya 195000Engine gani? Cc ngapi? Kmpl ngapi?
Ungekuwa ma risiti ungejumlisha lita za mafuta tujue exact. Kisha tugawanye tupate actual kmplNi spacio 1nz nimetembea kl 944 nimeweka mafuta ya 195000
Ni spacio 1nz nimetembea kl 944 nimeweka mafuta ya 195000
Imekunywa kiaina. Mafuta karibia 200,000/- ilitakiwa ivuke 1,000kmUngekuwa ma risiti ungejumlisha lita za mafuta tujue exact. Kisha tugawanye tupate actual kmpl
Hapo naona unacheza kati ya 11kmpl mpaka 12kmpl. Ni mbaya sana?
Nimeweka jumla lita 85 na hapa yamebaki robo tankUngekuwa ma risiti ungejumlisha lita za mafuta tujue exact. Kisha tugawanye tupate actual kmpl
Hapo naona unacheza kati ya 11kmpl mpaka 12kmpl. Ni mbaya sana?
Hayo mafuta kanunua kwa bei ipi? Kutegemeana na eneo bei inatofautiana mpaka Sh 100 au zaidi. Na mafuta kiasi gani yamebaki kwenye tank baada ya safari?Imekunywa kiaina. Mafuta karibia 200,000/- ilitakiwa ivuke 1,000km
Robo tank si inaenda zaidi ya km120 kwenye hiyo gari?Nimeweka jumla lita 85 na hapa yamebaki robo tank
Poa mkuu nitafanya hivyoRobo tank si inaenda zaidi ya km120 kwenye hiyo gari?
Anyway kama unahisi kuna ishu, jaza full safari ijayo then reset tripmeter, tembea umbali wowote kisha ujaze full tena. Gawanya umbali uliotembea kwa lita ulizo jazia ujue consumption.
Kutupa hela ni kuninunulia pombe halafu nashindwa kuinywa kama siku ile[emoji23].Hela inatupwa vipi? Ukiringa inatafutwa pisi ingine inapewa [emoji23]
Ni maziwa pia ila hyana uchungu kama wa ile Amarula ya siku ile. Ukitaka tamu kama soda ntakuchanganyia madude kwenye soda, shauri yako
[emoji1787][emoji1787]Embu tupe heshima yetu wakemia wa kvant mkuu [emoji23]
mguu wako mkuu ndio umefanya wese linyweke๐๐๐Mkuu wewe sio wa kuomba lift bwana[emoji41] ila Mungu ni mwema nimefika salama sema trip hii gari imekunywa wese sanaa
Mimi ni mkemia mkuu. UsinijaribuKutupa hela ni kuninunulia pombe halafu nashindwa kuinywa kama siku ile[emoji23].
Usije jaribu nichanganyia Kwenye soda[emoji23],soda zote najua ladha zake..kikibadilika kitu nitagundua.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23]Mimi ni mkemia mkuu. Usinijaribu