Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani hadi kuja kuchukua hiyo miwani nitakuwa sina hata Senti,shauri yako[emoji1787],hela zenyewe za manati hizi[emoji16].


Hiyo Baileys ni tamu kama soda?
Nahofia usije tupa hela yako bure kama ulivyotupa ile siku[emoji16].

Sent using Jamii Forums mobile app
Hela inatupwa vipi? Ukiringa inatafutwa pisi ingine inapewa 😂

Ni maziwa pia ila hyana uchungu kama wa ile Amarula ya siku ile. Ukitaka tamu kama soda ntakuchanganyia madude kwenye soda, shauri yako
 
Ni spacio 1nz nimetembea kl 944 nimeweka mafuta ya 195000
Ungekuwa ma risiti ungejumlisha lita za mafuta tujue exact. Kisha tugawanye tupate actual kmpl

Hapo naona unacheza kati ya 11kmpl mpaka 12kmpl. Ni mbaya sana?
Imekunywa kiaina. Mafuta karibia 200,000/- ilitakiwa ivuke 1,000km
 
Hela inatupwa vipi? Ukiringa inatafutwa pisi ingine inapewa [emoji23]

Ni maziwa pia ila hyana uchungu kama wa ile Amarula ya siku ile. Ukitaka tamu kama soda ntakuchanganyia madude kwenye soda, shauri yako
Kutupa hela ni kuninunulia pombe halafu nashindwa kuinywa kama siku ile[emoji23].

Usije jaribu nichanganyia Kwenye soda[emoji23],soda zote najua ladha zake..kikibadilika kitu nitagundua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom