Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Tunatazama tu, una hudumia ni hennesy misosi alafu tuna malizia kiulani tunakuacha unacheza na makeke yote hadi dk 89 tunaingia na nguvu mpya kumalizia lazima ulale na boti 😁😁
Kitambo Sana Kuna jamaa yetu kule City without Ocean, alikuwa anazama viwanja mida mibovu kukamata Papa na nyangumi kwa kutumia mkono.
 
Mabatini maeneo gani hapo karibu na Guest ya Nyaisonga au mlimani opposite na kanisa la Baptist.
[emoji38]
Hivi niliandika mabatini!
nimechange nimeandika uyole[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mabatini sijawahi hata kushuka,hata maeneo yake siyajui.


Nipo sokomatola huku boss karibia na Loleza Girls,nyuma ya kanisa la Moravian na mbele ya dispensary ya kiwanja mpaka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji7]

Hii ni ya wapi?

Ila njia ya treni huwa inaniogopesha Sana..yaani nyembamba halafu treni inatakiwa ilenge mulemule[emoji848]

Sent using Jamii Forums mobile app
Ya Dar - Arusha.

Uvunguni mwa Train unapajua palivyo mpaka uishangae njia yake 😂

Wewe ni dereva? Kuna njia ni nyembamba ila gari zinapishana vizuri tu. Kuna moja ipo huku 'inayoingia breweries naiogopa 7bu ya wembamba + kikona, ila drivers wanapitanayo fureshi kabisa.
 
Au ulitaka kuandika mitaa ya Makasini Ile Bar ya Uyole pale njiani
 
Bora hata barabara za magari zina kaupenyo.

Treni yaani[emoji38],halafu barabara zake zimening'inia juu tu aisee..

Ila siku moja nitapanda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…