Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kitambo Sana Kuna jamaa yetu kule City without Ocean, alikuwa anazama viwanja mida mibovu kukamata Papa na nyangumi kwa kutumia mkono.Tunatazama tu, una hudumia ni hennesy misosi alafu tuna malizia kiulani tunakuacha unacheza na makeke yote hadi dk 89 tunaingia na nguvu mpya kumalizia lazima ulale na boti 😁😁
Sister upo Sae,Mama John,Magorofani,Kadege,Meta,Simike,Nzovwe,Iyunga,Iwambi au Mbalizi.
Ndiyo [emoji38]Hehehhe halooooo
Kwahiyo tuna'assume la aina gani? Haha
Nipo Uyole hapa kiwanda Cha baridi Mbeya.Sister upo Sae,Mama John,Magorofani,Kadege,Meta,Simike,Nzovwe,Iyunga,Iwambi au Mbalizi.
Mabatini maeneo gani hapo karibu na Guest ya Nyaisonga au mlimani opposite na kanisa la Baptist.Nipo Uyole hapa kiwanda Cha baridi Mbeya.
Nialike ushuani boss nije kukutembelea[emoji4].
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijui lini nitapanda treni.Nasikia honi ya Train, ngoja nitoke nje kushangaa kidogo.
Katrip kake kako on plan.
Ukiamua hata kesho utalipanda 😂 Lile la umeme sijui lipo tayari? Dar - Moro la dk 45. Ilo chap tu unaenda na kurudi.
[emoji38]Mabatini maeneo gani hapo karibu na Guest ya Nyaisonga au mlimani opposite na kanisa la Baptist.
Ngoja wenyeji watujibu..Ukiamua hata kesho utalipanda [emoji23] Lile la umeme sijui lipo tayari? Dar - Moro la dk 45. Ilo chap tu unaenda na kurudi.
[emoji7]
Panda la Tazara lile Express utafurahi Sana.
Ya Dar - Arusha.[emoji7]
Hii ni ya wapi?
Ila njia ya treni huwa inaniogopesha Sana..yaani nyembamba halafu treni inatakiwa ilenge mulemule[emoji848]
Sent using Jamii Forums mobile app
Au ulitaka kuandika mitaa ya Makasini Ile Bar ya Uyole pale njiani[emoji38]
Hivi niliandika mabatini!
nimechange nimeandika uyole[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mabatini sijawahi hata kushuka,hata maeneo yake siyajui.
Nipo sokomatola huku boss karibia na Loleza Girls,nyuma ya kanisa la Moravian na mbele ya dispensary ya kiwanja mpaka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio umemaliza kuongea?. 😂 Jamani sema ni express la wapi? Ndio ilo la dk 45 Moro? Au niajePanda la Tazara lile Express utafurahi Sana.
Bora hata barabara za magari zina kaupenyo.Ya Dar - Arusha.
Uvunguni mwa Train unapajua palivyo mpaka uishangae njia yake [emoji23]
Wewe ni dereva? Kuna njia ni nyembamba ila gari zinapishana vizuri tu. Kuna moja ipo huku 'inayoingia breweries naiogopa 7bu ya wembamba + kikona, ila drivers wanapitanayo fureshi kabisa.
[emoji38]Au ulitaka kuandika mitaa ya Makasini Ile Bar ya Uyole pale njiani