Hahaaa mkuu kwenye suala la kutokuliwa nakubaliana na weweAna V8 kama la hom kwao?
Wakishua huyo hafu haliwi nilimnukuu mahala
DuuhMkuu futa kauli yako analiwa kunguru sembuse yeyee[emoji23][emoji23][emoji23]
Njoo uniambie PMExtrovert & RRONDO [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Ningewaelezea baadhi ya characteristics zangu sema nitajianika tu sasa
I am always sincere when it comes to explaining my personality ila tu siyo kwa kila mtu
Ila aminini tu kwamba mie siko decent wala siyo wife material kabisa kama mnavyosema
Kwa sifa zangu sifai kabisa kuwa mke wa mtu na huko kwenye ndoa tutaenda kutesana tu
Ni kweli kabisaaa sema kaongo tu hako wengine hayo maV8 tunapishana nayo tu barabarani hatujui hata tutapanda lini achilia mbali kuendeshaWa hivyo hawaangalii vitu hivyo. Masikini ndio wanajali vitu hivyo....talking from experience
Nakusalimia! Bado hatujazianza hadi leo au ulimaanisha 2022?I think by March or April tutakuwa tumeanza namba E!
Hahaaa nitakuja kaka [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Njoo uniambie PM
Hii D inatoboa mwaka 2022!Nakusalimia! Bado hatujazianza hadi leo au ulimaanisha 2022?
Mwisho wa mwaka umekaribia, tuanze kuzurura, mi japo nazurura mara nyingi ila mwisho wa mwaka una raha yake, stress free, vilaji na nyama choma tu.
Watu wanataka wautoe exhaust na masega kwa 50m.nimeona kwenye 50million, vitonga vitaangamiza sana watu 😀😀😀
😊😊 watu wamepagawa aisee.. ila 50 mill nyingi sanaaa hilo rinda labda kama ni la gold 😉😉😉 majitu yalivuo mahumi yatoe 50 na huu uchumi wa corona thubutuuuWatu wanataka wautoe exhaust na masega kwa 50m.
Utu ni Bora kuliko pesa.
Naisubiri namba E chuma kiiagizwe sitaki chuma kiwa na D wakati tuna sepa na kijiji 😉Hii D inatoboa mwaka 2022!
Hakuna mtu atayetoa hiyo pesa kizembe hata iwe Ulaya au America hiyo pesa ni kubwa. Hata wataliano hapo Kwa hiyo pesa inayokaribia USD 21000 hawatoi hata umpige, ingawa ndio vinara wa michezo hiyo wakija Kwa dada zetu.😊😊 watu wamepagawa aisee.. ila 50 mill nyingi sanaaa hilo rinda labda kama ni la gold 😉😉😉 majitu yalivuo mahumi yatoe 50 na huu uchumi wa corona thubutuuu
Hawakujui hawa😂Duuh
Kwamba mshua wako haendeshwi kwenye v8 ya kazini leo. Ulihesabu hadi masaa dereva wenu avomwaga vumbi😂Ni kweli kabisaaa sema kaongo tu hako wengine hayo maV8 tunapishana nayo tu barabarani hatujui hata tutapanda lini achilia mbali kuendesha
😁😁😁 wakati elfu 20 wanapata kuchezea haja kubwaa .. Acha tuendelee kupiga trip zetu tuHakuna mtu atayetoa hiyo pesa kizembe hata iwe Ulaya au America hiyo pesa ni kubwa. Hata wataliano hapo Kwa hiyo pesa inayokaribia USD 21000 hawatoi hata umpige, ingawa ndio vinara wa michezo hiyo wakija Kwa dada zetu.
😅😅😅😅😅😅 kwa hali ilivyo sahizi ndio DXC bado tuna kipengele kirefuNakusalimia! Bado hatujazianza hadi leo au ulimaanisha 2022?
Mwisho wa mwaka umekaribia, tuanze kuzurura, mi japo nazurura mara nyingi ila mwisho wa mwaka una raha yake, stress free, vilaji na nyama choma tu.
I thought of 2022 ila still nahisi itakuwa bado mapema kuanza E!Nakusalimia! Bado hatujazianza hadi leo au ulimaanisha 2022?
Mwisho wa mwaka umekaribia, tuanze kuzurura, mi japo nazurura mara nyingi ila mwisho wa mwaka una raha yake, stress free, vilaji na nyama choma tu.
ImeelewekaOh!
Ipo hivi mizani now days ni vpn
Sina neno zuri la kiswahili[emoji23]
Nikishapima bandarini VGM, pote nitakapopita uzito upo sawa kama inavyotakikana
Kwa hiyo tuchukulie mfano pale Vigwaza, kuna mzani kabla ya mzani(sijui naeleweka?)
Ukini pita pale ule mzani utasoma gari yako na mzigo nilioubeba so far red light itawaka kunielekeza niingie wa corfirm
Lakini ukiniacha na ukanipa distance utaona wote tunanyooka bila mimi kuingia mzani
Sauti ipo sawa?