Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 30,567
- 86,748
Hahaaa mkuu kwenye suala la kutokuliwa nakubaliana na weweAna V8 kama la hom kwao?
Wakishua huyo hafu haliwi nilimnukuu mahala
Na ni kwa sababu zilizo nje ya uwezo wangu
Ila kuhusu kuwa wa kishua au kuwa na V8 home nilisema wapi tena jamani mbona mie mtoto wa mkulima tu mkuu