Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] parangana maana sie ma mwinyi hutatuweza!

Maswala ya kufyeka tulifyekaga wayback sahizi hizo kazi ni za Shambaboy sio washua!
Extrovert umwinyi wa mwanaume unajidhihirisha kwenye kutimiza majukumu yake tu siyo blah blah wewe timiza majukumu yako kikamilifu bila kutaka mkeo akusaidie kama ambavyo wewe hutaki kumsaidia majukumu yake
 
Wewe extrovert ulishasema katu hauwezi msaidia mke wako hizo kazi hata awe mwema kiasi gani and yet unataka yeye awe anakupiga tafu unapokwama
Mwanaume ashindwe hata kuniandalia ka omelette, si mzigo wa gunia la misumari huyo.?
😅😅😅😅😅😅 parangana maana sie ma mwinyi hutatuweza!

Maswala ya kufyeka tulifyekaga wayback sahizi hizo kazi ni za Shambaboy sio washua!
Pesa kidogo hata kazi za nje ushindwe kufanya kweli?
 
aah-! mwanaume anabaki kuwa mwanaume, sie ndio tulianza ingia duniani mkuu hamtokuja kutupanda kichwani
Hizo kauli zenu tumeshazizoea bwashee we jisemee wewe tu ndugu yangu kuna wenzio huku wanajiita vidume vya mbegu ila wanalizwa na mapenzi kila siku

Wakija huku mitandaoni wanajitutumua kujifanya oo mimi mwanamke hawezi kunipelekesha sijui blah blah wakati sote tunajua mambo kwa ground huwa ni tofauti

Na wanawake hawataki kuwapanda vichwani bali wanataka kujitoa kwenye ile stage ya kuwa victims wenu kwenye mapenzi kitu ambacho wamefanikiwa kwa asilimia kubwa siyo kama zamani
 
Ukishakuwa mtu timamu maumivu huwa yapo, haijalishi ni nani. Ila hamuwezi kutupanda vichwani tutaendelea kuwaburuza tu ilo lipo wazi
 
Mwanaume ashindwe hata kuniandalia ka omelette, si mzigo wa gunia la misumari huyo.?

Pesa kidogo hata kazi za nje ushindwe kufanya kweli?
Si ndio hapo sasa

Utasikia oo igeni wanawake wa kizungu they pay their own bills na hawamtegemi mwanaume wanasahau kwamba hata wanaume wa kizungu nao huwa wanapika na kuosha vyombo hawawategemei wake zao

Africa wanataka tamaduni zibadilike kwenye majukumu ya mwanaume tu ila kwenye majukumu ya mwanamke tamaduni zibaki pale pale apambane na hali yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…