Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,743
Nimeisha elezea hili unalo elezea .. upo sahihi ila ndoa ni baraka kama ukikutana na ulie kusudiwa tatizo ukikutana na mpigajiSasa kama mnalijua hilo mbona mnajitutumua kuwa hamuoi mnapeleka moto na kuzalisha
By the way siyo ndoa zote ni baraka na siyo ndoa zote zimeidhinishwa na muumba
Haujawahi sikia kuna mtu kaingia kwenye ndoa matatizo ndiyo yakaanza na hakuna anachofanya kikaonekana
ila si mnapenda moto eehKumbe mnaujua umuhimu wa ndoa eh sasa hayo maneno si ndiyo mnatakiwa muambiane ninyi wanaume mnaosema "hatuoi tunapeleka moto tu" mkidhani mnawakomoa wanawake
Hiyo mitazamo ni jamii zetu tu za kiafrica ndiyo imeitengeneza wala haiko hivyo duniani kote
Hivi kwani ndoa ni ufalme wa Mbinguni hadi watutishie kiasi hicho??Waache naona either hawajui au wanajitoa ufahamu wanadhani bado tuko kwenye kile kizazi cha mababu
Peleka peleka.Aah! mie sikomoi mtu hata [emoji3][emoji3][emoji15]
Na kazi za nyumbani hawafanyiBila kuwasahau na wale wanaume wanaokacha majukumu yao ya "kula kwa jasho" wanataka kusaidiwa maisha
Na usuri sio kila mtu namtaka kumpelekea fire😊😊😊Peleka peleka.
Uzuri si kila mtu unaweza mpelekea.
watoto kama nyie namba E ndio tunawataka sasa hivi, acheni kukwepa kwepaHivi kwani ndoa ni ufalme wa Mbinguni hadi watutishie kiasi hicho??
Uzuri unatishiwa hapa lakini Kuna mtu anakuelewa vibaya..kwahiyo wasitutishe.
kupelekewa tu huo moto ni kazi piaNa kazi za nyumbani hawafanyi
Yaani wanakuwa walemavu square.
Kumbe basi msitutishie maana hata kwenye list ya kupelekewa moto hatumo.Na usuri sio kila mtu namtaka kumpelekea fire[emoji4][emoji4][emoji4]
Yaani mimi nimekula chakula Cha baba mara nyingi TU.this is very true wanaume wanataka wanawake kama wamama wa zamani
lakini hawawezi kuwa kama wababa wa zamani
kila nikikumbuka majukumu aliyokuwa anatimiza mzee sioni kama kizazi hichi wanaweza to be honest
Yaani mimi nimekula chakula Cha baba mara nyingi TU.Africa mume amsaidie mke kazi za ndani thubutuuu hiyo ni dhambi na laana kubwa sana lakini mke kumsaidia mume kulipia bills na mahitaji ya watoto aahh fresh tu tena huyo ndiyo aonekana wife material aliyekamilika
Unajuaje kama haumo ? siri za kambi hizoKumbe basi msitutishie maana hata kwenye list ya kupelekewa moto hatumo.
manapenda wadada wa nyumbani ndio mtafauruku unaanzia hapothis is very true wanaume wanataka wanawake kama wamama wa zamani
lakini hawawezi kuwa kama wababa wa zamani
kila nikikumbuka majukumu aliyokuwa anatimiza mzee sioni kama kizazi hichi wanaweza to be honest
SimoUnajuaje kama haumo ? siri za kambi hizo
Endelea kusema haumo, hadi siku mpira upige kati kati ya gori ndio utajua watu hatuna masihara na kazi zetuSimo
Hongera kwa kazi nzuriEndelea kusema haumo, hadi siku mpira upige kati kati ya gori ndio utajua watu hatuna masihara na kazi zetu
😋😋😋😋 namba E kitu kipyaaaHongera kwa kazi nzuri
weekend boss acha tupige stroy tunaweza pata trip ya moyoni kwa mtu
Alahmisi huwa inanoga sana na jumamosi.. hapo ni nguvu yako ya kukabilina na Ijumaa ukiwa ofisini huku ukiwa umetokea maeneo pendwaa ni kujipangaa haswaaaDah!! weekend yako man mbona inaanza mapema hivi...