Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

eti mtu anasimama anavua nguo anaacha hapo hapo anajiita mume
mke akiumwa mpaka boxer inaenda kwa Dobi
 
Haha kwa bahati nzuri au mbaya hakuna sehemu nimesema i need to change the fact that i was born a woman and infact naona kama i am better off being a woman cause ningekuwa mwanaume nahisi ningefanya mambo ya ajabu sana

Na hakuna sehemu nimesema ndoa zote ni mbaya lakini kwa dunia ya sasa tukichukua idadi ya ndoa nzuri na mbaya tutajua zipi ni nyingi na tutajua tunakoelekea kuliko kukaa kudanganyana wakati tukija kwenye uhalisia ni tofauti

Sidhani kama hata unajua maana ya feminist mkuu sababu naona wanaume wengi wa jf huwa mnalitumia hili neno isivyotakiwa sasa sijui ni mihemko au ni kutokujua ila huwa mnalitumia kama defensive mechanism ili kukwepa hoja
 
Aisee unaonesha wewe ni mwanaume unayejielewa na unajua umuhimu wa ndoa na thamani ya mwanamke sasa mbona ulikuwa unaongea vitu vya ajabu hadi nikajua nawe ni wale wale tu wanaodharau wanawake au unachangamsha jukwaa tu
 
Aisee unaonesha wewe ni mwanaume unayejielewa na unajua umuhimu wa ndoa na thamani ya mwanamke sasa mbona ulikuwa unaongea vitu vya ajabu hadi nikajua nawe ni wale wale tu wanaodharau wanawake au hayo ni maneno tu
Hii Jf ndugu hatujuani, wakati mwingine tunapiga story ila nilicho andika mwisho ndio mimi nikiwa serious kidogo
 
Pengine ndio hivyo
Kinachosumbua sana watu ni hisia tu, mtu anashindwa kuelewa kapenda kweli au hisi zake zimewaka juu ya mtu flani. Na hisia za mapenzi huwa zinadumu mda mrefu sana hadi pale unapo anza kukutana na madhaifu ya mwenzako zinaanza kukata, kitu amabcho kwenye upendo hakipo.. upendo hata siku moja haujawai kutafuta mabaya au udhaifu wa mtu
 
Kila nikijaribu kudandia huu muendelezo ili twende sawa lkn nadondoka Sasa sijajua nakosea wapi !!!sijui sababu sioni habari za engine,matairi na location au mnatimua sana vumbi kiasi nashindwa kuona mbele kwenye road[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dandia popote Mkuu.
 
[emoji38]
 
Juzi nimepiga kirikuu yangu gunia tisa za mkojo nikaamsha dar arusha, kuna prado kama mia tisa nimezipita kama zimesimama.

Kuna mmoja nikataka mpk kusimama nimpige kofi. Nikampiga pasi makusudi anifukuze, nikampoteza kati ya makanya mpk hedaru [emoji3][emoji3][emoji3]

Kama huna benz, prado, VX, BMW n.k like hii comment tuwakomeshe hawa wapiga debe wa used za japani. Kisha Tukutane stendi [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…