Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,486
- 51,156
eti mtu anasimama anavua nguo anaacha hapo hapo anajiita mumeYaani mimi nimekula chakula Cha baba mara nyingi TU.
Na nilikuwa mikiugua naenda hospital na baba..hii alikuwa anafanya willingly,hata siku nikienda mwenyewe hospital mzee ananifuata.
Usafi wa nje alichukua jukumu kufanya na hata kazi nyingine nyingi TU alikuwa akifanya na ndoa ilidumu.
Wanaume wa siku hizi wanajitoa ufahamu..
Mimi mwanaume anaye act kama mlemavu simtaki.
mke akiumwa mpaka boxer inaenda kwa Dobi