Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Zamani kulikua na watoto wa mama Salma vyuo vingiii. Vipi siku hizi hamna watoto wa mama Samia? Unakula wazuuri lakin Wana Moto.

Sent from my M2003J15SC using JamiiForums mobile app
Duh[emoji3]

Umenikumbusha asee kipindi hiyo nauza barakoa za kike na pambaja zake[emoji3]

Goli langu lilikuwa mkabala na mlango wa kuingia uwanja wa chuo cha ushirika

Jirani na mimi alikuwa fundi viatu, mbele kule biashara ya vyakula

Hakika wale watoto walikuwa balaa, uvaaji wao na hata darasani walikuwa vizuri

Sina hakika mtaa wangu hapo Longuo ulisalimika kiasi gani[emoji3]
 
Sina Shaka wali kukoma...hivyo vitu ulivyo Kua unauza ndio vilikua vinapendwa na hao watoto

Sent from my M2003J15SC using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…