Wigelekelo
JF-Expert Member
- Sep 2, 2018
- 8,758
- 26,885
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakutana nacho kwenye siredi mbali mbaliUmejuaje mkuu?
Its 'open' groupWadau sorry naomba kujua admin wa kundi la whatsapp la wazee wa road trip nimfuate pm aniadd.
Hata najua bhasHapana, nimeshangaa umejuaje ni kisu?!
Shikamoo MkuuIts 'open' group
Cliick the link to join....
huenda muandiko na style ya like unaweza jua ni kisu au pangaHapana, nimeshangaa umejuaje ni kisu?!
Ni kisu hakuna butu humu JfHata najua bhas
Nime assume tu[emoji3]
Anaweza awe kisu
Anaweza asiwe..
Yote yanashabihiana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka sana khaaah,[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] nasubiri first year sasa hivi hayo makurumbembe yananyonya kila kitu aseee
vikija vi first year nipe connection basiii huwa vitamu sanaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka sana khaaah,
Zamani kulikua na watoto wa mama Salma vyuo vingiii. Vipi siku hizi hamna watoto wa mama Samia? Unakula wazuuri lakin Wana Moto.vikija vi first year nipe connection basiii huwa vitamu sanaaa
Duh[emoji3]Zamani kulikua na watoto wa mama Salma vyuo vingiii. Vipi siku hizi hamna watoto wa mama Samia? Unakula wazuuri lakin Wana Moto.
Sent from my M2003J15SC using JamiiForums mobile app
Sina Shaka wali kukoma...hivyo vitu ulivyo Kua unauza ndio vilikua vinapendwa na hao watotoDuh[emoji3]
Umenikumbusha asee kipindi hiyo nauza barakoa za kike na pambaja zake[emoji3]
Goli langu lilikuwa mkabala na mlango wa kuingia uwanja wa chuo cha ushirika
Jirani na mimi alikuwa fundi viatu, mbele kule biashara ya vyakula
Hakika wale watoto walikuwa balaa, uvaaji wao na hata darasani walikuwa vizuri
Sina hakika mtaa wangu hapo Longuo ulisalimika kiasi gani[emoji3]
[emoji3][emoji3]Sina Shaka wali kukoma...hivyo vitu ulivyo Kua unauza ndio vilikua vinapendwa na hao watoto
Sent from my M2003J15SC using JamiiForums mobile app