rough driverAtiii 😁
Imani, Upendo, Miujiza na money laundering [emoji1787][emoji1787]
Nimetoka mjini jana sina taarifa mkuuHivi jamaa amevuna watu? Maana kwenye matangazo aliua
OkNimetoka mjini jana sina taarifa mkuu
Trip inaanzia wapi tukukutaneJumapili na trip ya shinyanga [emoji3][emoji3],na jana nimeenda moro na kurudi mdogo mdogo
trip inaanzia dar es salaamTrip inaanzia wapi tukukutane
Mi na trip mwanza
Kesho twende Kwa kolenda[emoji4]View attachment 1968554View attachment 1968555
Nimetoka kujiboost kiroho[emoji4].Imani, Upendo, Miujiza na money laundering [emoji1787][emoji1787]
Leo mwenyewe alikuwa jangwani, kulikuwa na mafuriko ya Watu.Hivi jamaa amevuna watu? Maana kwenye matangazo aliua
[emoji38][emoji38][emoji38]
Umeomba buku ten tayariWanawake ndo tumeshuka thamani kiasi hicho?
Aiseee,wazee wa road trip tupendane, tugawane notes hizo .
Dashboard ya mjerumani haidanganyi.
Kuna 50000Huu mguu naomba niutunze 10,000/- [emoji39]
UsiwazeNini tena kiongozi? Tumegongana mahali?
Tatizo lako ni mojaAiseee,wazee wa road trip tupendane, tugawane notes hizo .
[emoji38]Tatizo lako ni moja
Wewe ni waifu matirio
Hivyo tu