Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Mi nimekumiss zaidi aisee,hivi sijakuambia eeh kama nimekumiss!Hahahahah nimekumiss aisee I wish usingehamishwa pale dah
[emoji1787]Itoshe kusema
Nimemiss safari lager
Niwatakie wikiend njema!
'Asikwambie mtu bia tamu'
Hahaaa nilijua tu lazima kuna mtu atakuja kumjibu hivi yaani nilikuwa nalisubiria tu hili jibu! Anyway yawezekana yeye alipomuomba alitania tu ila ni kweli wanawake tumeshuka thamani sana na kwa asilimia kubwa tumejishusha wenyewe!Umeomba buku ten tayari
Hilo ndio jibu
Tunataka assurance [emoji38]Kwani washawahi kukosa ada?
Mimi ni mama wa watoto wanne.Kwani anao tayari[emoji848]
Hahaaa lakini na ninyi mnachangia wanawake kupenda hela zenu! Imagine kama mtu umetaka mwenyewe kumpa unafikiri atakataa? [emoji3][emoji3] Thubutu!Kuna 50000
Naweka, nikirejea tu
Dadek
Ulisikia wapii 😋😉Hahaaa lakini na ninyi mnachangia wanawake kupenda hela zenu! Imagine kama mtu umetaka mwenyewe kumpa unafikiri atakataa? [emoji3][emoji3] Thubutu!
Mlivyo na wivuTunataka assurance [emoji38]
Mimi ada za wanangu kwanza na chakula+makazi.
Ukishatoa hivyo, basi hata ukiamua kukesha kilabuni hadi uzimie ni wewe TU!
AiseeMimi ni mama wa watoto wanne.
Enjoy bana 😋Iko na reputation kwakweli...
Mtoto mzuriYamefanyaje?
Una mambo wewe..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaahHatari sanaa hapo ukiipa lift pisi kali hutongozi kbc unanyoosha moja kwa moja hotelini mkuu[emoji23]
Nimeona maandazi mekundu tyuuh lol, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hilo muhimu mkuu.Mlivyo na wivu
Hata mmpewe nini
Bado utataka utamu usitoke nje
Nawaona wanangu waliooa
Nabaki kucheka[emoji3][emoji3]
Huamini unataka kuona?Aisee
Haahh sawa mkuu.Mtoto mzuri
Mie sina mambo
Nina vituko hadi utafurahi[emoji3]
Koh Koh!!Mimi ni mama wa watoto wanne.
Sawa hiyo kwioHaahh sawa mkuu.