Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Duuh sasa mbona maandishi yao humu hayafananii kabisa na upole? Aahh wapole wanajulikana bhana!
Naomba niwatetee jamani.Yaani kama Holy Man yaani dah mpole kuanzia sura yake hadi roho,jamaa ni mlokole mzuri na ana madini sana hasa kwa watu wanaopenda mambo ya kiroho.ISO mpole sana pia ni mcheshi mno,ukikaa naye unacheka muda wote.,,hana makuu kabisa na amenisaidia mno kwenye mambo yetu ya macho...namuagiza hakasiriki na anafanya kitu willingly hadi unapenda.
 
Mmmh.
 
Wapo ila hawafikii idadi ya kuwekwa kwenye hesabu,wengi huwa wanajipikilisha mambo ya tambi ,pasta sijui na mayai na vitu viingi vya kuchemshachemsha,😁😁😁
Si kweli, kuna mshikaji wangu mmoja anapika hatari, na hajasomea FP.

X mmoja anapika mpaka ana'bake na hata certificate ya FP hana.

Mshua wangu anapika . Anakwambia jeshini tulifundishwa kila kitu..

Ninyi wazee wa michemsho msikariri kuwa Men hawajuagi kupika. Sema wengi wana uvivu, namtaniaga mshua nimemiss wali maini wako 🤣 anasema umweni wote niwapikie
 
Holy man ana mtu na mtu. Hana upole wowote, sema tu ndio vile ni church man inamuokoa. Ila ana matukio yake usiyoyajua.

Nakusagia kunguni Holy Man
 
Napenda ila sipendi kuosha vyombo aisee! Thats disgusting nimemaliza ugali nimeshiba halafu mavyombo yananitazama
Dawa ni kuosha wakati unapika yaani kila utakachotumia wakati unapika unakiosha. Hadi unamaliza kupika utajikuta umebaki na vyombo vichafu vichache sana yaani masufuria uliyopikia na vile ulivyolia basi!

Binafsi niko radhi nipike hata masaa matatu lakini nipike huku naosha vyombo hadi namaliza na vyombo vyote visafi. Vyombo ukisema uvirundike eti utaosha ukimaliza kula lazima tu utavionea uvivu na ndiyo mwanzo wa uchafu!
 
Shida sio kupika shida kuosha vyombo😅 aisee ni mara kumi unipe adhabu ya kupika ila sio kuosha vyombo tena bora sahani vikombe na vijiko ila masufuria uongo!
mimi mwanaume akinisaaidia tu hata kushika kijiko kunisogezea ninapoosha namchukulia kama ana msaada ,,ameonyesha sapoti. au napika ,akaja japo kukoroga tu😉
 
solution yetu malegendary😂
😂😂kila nikiwaza lifrstyle yangu aisee sijui kama kuna mtoto wa mtu ataendana nayo.
 
View attachment 1962308View attachment 1962309
Hizi gari zina namba DV... Ina maana hazina hata miezi 6 tangu zisajiliwe
Aisee pole yao wote waliohusika katika ajali sema hawa jamaa wenye IST sijui wanajihisigi wana super cars yani! Huwa wana vurugu sana huko highway ukiangalia kagari kenyewe kadogo il wanazipushigi utafikiri ni buggati labda na overtake zisizo na maana kwenye blind spots!
 
Hata mie nashngaa, napika hatari sio najisifia ukweli.. nikipata ugeni naingia jikoni wengine wote wanakaa nje .. nafanya vitu
 
Mzee mwenzangu Holy Man hongera sana bana naona wasifu umekaa vyema kwa mtoto wa kinyaki 😅 fanyeni kweli sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…