Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Naomba niwatetee jamani.Yaani kama Holy Man yaani dah mpole kuanzia sura yake hadi roho,jamaa ni mlokole mzuri na ana madini sana hasa kwa watu wanaopenda mambo ya kiroho.ISO mpole sana pia ni mcheshi mno,ukikaa naye unacheka muda wote.,,hana makuu kabisa na amenisaidia mno kwenye mambo yetu ya macho...namuagiza hakasiriki na anafanya kitu willingly hadi unapenda.Duuh sasa mbona maandishi yao humu hayafananii kabisa na upole? Aahh wapole wanajulikana bhana!