Kweli hali ni ngumu aisee! Bora kubaki single for life 😂Aahh yaani mimi lifestyle yangu naijuaga mwenyewe aise. Kwanza kupika naweza jipikia chakula cha wiki nzima naweka kwenye friji nakuwa natoa kidogo kidogo napasha nakula imeisha hiyo we call it a night.
Masuala ya kuishi na mtoto wa mtu anataka umpikie asubuhi mchana usiku na vyombo uoshe mwenyewe hakuna kazi anayokusaidia hata moja huo ni mzigo. Labda ninyi mawaifu matirio ndiyo mtaweza ili mkavikwe mataji mbinguni.
We fisi tu bhana 😃😃😃Namie ni mpole jamani kama Holy Man munizingatie kwenye list!
😎😎😎😎😁😁😁😁Kwahio kutoka romeo and juliet hadi kusagiana kunguni 😅?!
Hebu zingatieni script jamani
Daah mnajiamini. Wengine sijui tuna shetani gani siku tukitembelewa na ugeni wa heshima tukipika ndiyo mara umeunguza mara umezidisha chumvi unaonekana bure kabisa wakati tukiwa tunajipikia wenyewe wala hatuharibu yaani shetani mchonganishi sana sijapata kuona. [emoji3][emoji3] [emoji2][emoji2]Hata mie nashngaa, napika hatari sio najisifia ukweli.. nikipata ugeni naingia jikoni wengine wote wanakaa nje .. nafanya vitu
Agh wajeda wote kwenye Carina chali aisee,wana kale ka ubabe mie mjeshi kwamba hagusiku, kumbe ushamba tu
Ni Exposure tu mkuuWajeda washamba flani hivi wajeda wajanja wachache sana sijui shida nini ?
wageni wakija ndio mahala pa kuchukua ujiko sasa .. hakikisha unabalance emotion zakoDaah mnajiamini. Wengine sijui tuna shetani gani siku tukitembelewa na ugeni wa heshima tukipika ndiyo mara umeunguza mara umezidisha chumvi unaonekana bure kabisa wakati tukiwa tunajipikia wenyewe wala hatuharibu yaani shetani mchonganishi sana sijapata kuona. [emoji3][emoji3] [emoji2][emoji2]
Nipe mixtape za kuabudu brochakula zangu hizi asee..
View attachment 1969170
Hii namna tunavyo pick na hao wajeda . Jeshi wengi wamekuwa wanakimbilia kama matokeo ya ukosefu wa ajira.. imejikuta inachukua vimeo vingi.. walio enda jeshini wakiwa smart hata kule ndio walio smart.Ni Exposure tu mkuu
Siyo Wote bana ni nini lakini [emoji3][emoji3] [emoji2][emoji2]Hahahahha niliuliza humu juzi hawa jamaa wanapenda IST na vits chakavu utakuta namba C zile au B vyenye miziki ya makelele ndani [emoji23] sasa unajiuliza ni kwamba hamna ruzuku walau waendeshe hata vifaru tu?
Hii namna tunavyo pick na hao wajeda . Jeshi wengi wamekuwa wanakimbilia kama matokeo ya ukosefu wa ajira.. imejikuta inachukua vimeo vingi.. walio enda jeshini wakiwa smart hata kule ndio walio smart.Ni Exposure tu mkuu
napandsiah file hapa, kwa moja moja zitawachosha piaNipe mixtape za kuabudu bro
Ndio BossEeeh wewe mjeda?!!![emoji15][emoji15]
Nalijua 1 tu.Unayajua nikishusha list hapa kama list ya mapapa fisaidi aliyoyataja Dr Slaa pale mwembe yanga
Tatizo Raia mnatukandia sana aisee daahvichwa vibovu vile ndio maana ukiwa nao karibu nao ndio utajua ni utopolo kama utopolo wengine, wapo walio smart ila wachache sana
😂😂Hahahahha niliuliza humu juzi hawa jamaa wanapenda IST na vits chakavu utakuta namba C zile au B vyenye miziki ya makelele ndani 😂 sasa unajiuliza ni kwamba hamna ruzuku walau waendeshe hata vifaru tu?
Punguza kutuzingatia 🤣🤣🤣🤣Kwahio kutoka romeo and juliet hadi kusagiana kunguni 😅?!
Hebu zingatieni script jamani
Hahaaa afadhali Jei Wii. Yaani nchi hii JWTZ na TISS ndiyo angalau ziko vizuri ila kuanzia Polisi, Magereza, Uhamiaji na Zimamoto nk wanatuangusha sana na wanatutukanisha wote.Hapana. JW viherehere tu, wanasahau wote ni shimo moja tu.
mimi mtoto wa mtu ataniharibia ratiba zangu na style ya kuosha vyomboAahh yaani mimi lifestyle yangu naijuaga mwenyewe aise. Kwanza kupika naweza jipikia chakula cha wiki nzima naweka kwenye friji nakuwa natoa kidogo kidogo napasha nakula imeisha hiyo we call it a night.
Masuala ya kuishi na mtoto wa mtu anataka umpikie asubuhi mchana usiku na vyombo uoshe mwenyewe hakuna kazi anayokusaidia hata moja huo ni mzigo. Labda ninyi mawaifu matirio ndiyo mtaweza ili mkavikwe mataji mbinguni.
Teh Teh umenifanya hadi nipaliwe aiseNamie ni mpole jamani kama Holy Man munizingatie kwenye list!