Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

ISO akilewa utatamani ukae naye muda wote...mcheshiiii.Nampenda bure mimi.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] na wanajila kweli.

Mimi nilichomokea six tukaunganisha, ningejila U-service bora ningerudi kwetu tu au nivae karanga milele kuliko kuvaa khaki [emoji3][emoji23]
Acha madharau D, kwamba karanga ni bora kuliko kaki? Karanga ungekula msoto Sana na ungelikumbuka bogi la kaki.
 
Acha madharau D, kwamba karanga ni bora kuliko kaki? Karanga ungekula msoto Sana na ungelikumbuka bogi la kaki.
Nakuzingua tu "raia mkakamavu"

Naelewa msoto wanaopitia kule, nilivyokua mujibu nilikutana na bro akiwa service ambaye alinifundisha physics form 1 (alikua na degree) .

Alikaa miaka mitano, mabogi yote yanampita tu, ikabidi akubaliane na hali lilivyokuja la pt.

Tatizo wengi kule ni majeshi kunoga, yaani hataki kusikia kitengo kingine zaidi ya Tpdf
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…