Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Huku bado kidogo tutageuka mishikaki
Screenshot_2021-10-09-14-26-01-521_com.miui.weather2.jpg
 
Sasa hawa umewaingiza sasa hivi! Wale wengine ndiyo nilikuwa nasema siyo wapole!

Ila hao uliowataja sasa hivi Holy Man naweza nikasema anaonesha kabisa kuwa ni mpole sema kuna muda anajitoaga tu ufahamu humu jukwaani. ISO siwezi msemea sana maana sijamuelewa elewa vizuri bado ila kama ndiyo yuko hivyo ulivyosema basi ni jambo jema.
ISO akilewa utatamani ukae naye muda wote...mcheshiiii.Nampenda bure mimi.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] na wanajila kweli.

Mimi nilichomokea six tukaunganisha, ningejila U-service bora ningerudi kwetu tu au nivae karanga milele kuliko kuvaa khaki [emoji3][emoji23]
Acha madharau D, kwamba karanga ni bora kuliko kaki? Karanga ungekula msoto Sana na ungelikumbuka bogi la kaki.
 
Acha madharau D, kwamba karanga ni bora kuliko kaki? Karanga ungekula msoto Sana na ungelikumbuka bogi la kaki.
Nakuzingua tu "raia mkakamavu"

Naelewa msoto wanaopitia kule, nilivyokua mujibu nilikutana na bro akiwa service ambaye alinifundisha physics form 1 (alikua na degree) .

Alikaa miaka mitano, mabogi yote yanampita tu, ikabidi akubaliane na hali lilivyokuja la pt.

Tatizo wengi kule ni majeshi kunoga, yaani hataki kusikia kitengo kingine zaidi ya Tpdf
 
Back
Top Bottom