Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

[emoji38][emoji38][emoji38]
Mwambie tulipita kupamba gari[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Alafu ukarudishwa nyumbani na gari ya bi harusi iliyopambwa. Walisemaje nilipokushusha pale?

Nilijitahidi kuendesha taratibu yale maua yasipepee [emoji38] japo uvumilivu ulinishinda baadae

Barabarani walijua nakupeleka harusini

 
Dah mwanangu[emoji23][emoji23][emoji23]
Kipindi hicho sielewi natoka wapi napenda wapi.

Unakumbuka nikawa nakuambia ukiniacha hapa napotea [emoji38][emoji38][emoji38].
Nilikuwa na siku 3 tu Dar yaani ndio ilikuwa mara ya kwanza kutoka nyumbani..Hata mbezi nilikuwa sipajui [emoji23][emoji23]

Basi nikiwa napita hapo Ubungo,nikiona hilo jengo nacheeka halafu nakukumbuka.

Hivi tulipita wapi pale kula kuku?[emoji39]
Baba mwendo wako[emoji38][emoji119],na yale maua kwenye gari [emoji23]sisy alibaki anatabasamu...
Nikampa na yule kuku[emoji23]
 
Haa kumbe hukula tena? Palikuwa mabibo pale. Embu jenga appetite ule kama mwenzio, si ulikaona kamwili kadogo ila tako mashallah. Piga menu ugeuze shingo za watu mjini.
 
Sounds good
Yes

Dar - Singida 670-690Km

Dar - Mwanza 450 - 460km

(Kutegemea na ulipoanzia safari na utakapoishia)

Singida kuna bata sana!

Kuna lake views na mengine yote, hata ukiamka saa tano asubuhi kabla ya jua kuzama utakuwa Mwanza.

Ukitokea Dar, Singida utaingia mapemaaa na kujuwa mazingira ya kupumzika.
 
Nitaiweka kipaumbele hii
 
Haa kumbe hukula tena? Palikuwa mabibo pale. Embu jenga appetite ule kama mwenzio, si ulikaona kamwili kadogo ila tako mashallah. Piga menu ugeuze shingo za watu mjini.
Kale kanafukia[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Yah,nilikaona.. kana mwili mzuri.


Siwezi kula sana ISO,,halafu kipindi hicho nilikuwa nimekonda sana stress.
Siku hizi nimenenepa hadi kichwa[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Interesting
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…