Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wao ndio wanakula 10k wanatulia, ningewatisha naifikisha hii ripoti kwa boss wao.
Kabisaaa. Halaf inatakiwa uvimbe kama afisa kipenyo. Wala hutambulishi cheo chako. We unawapa taarifa trafiki halaf unawaambia nutafuatilia hili jambo niko zaidi ya serious halaf unatembea lzm watetemeke. Unawaachia na hilo 10 la kiwi[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hata Kilimanjaro Express nazo! Hao ni kwenda nao sambamba tu!
 
Aaaah! why?
 
Yaani acha kabisa ni raha sana sijawahi kuona! Mtu wala hauchoki na safari!

Yes na unakuta wengi ni wanaume wanawake ni wachache sana na mie ndivyo ninavyopenda! Si unajua asilimia kubwa ya stories zetu wadada zinaboa na hata hazichangamshi hivyo mie naonaga bora wajae wanaume tu huwa hapaboi kabisa!

Wakikaa kimya dakika mbili tu unaanza kuona safari chungu! Haki pale mtu unasahau shida zako kwa muda!

Na mimi wala sijawahi kuwa na shida wale madereva wanapoovertake maana ndiyo napenda! Na huwa sipandagi mabasi yanayochelewa kufika hata siku moja nataka yale wanayokimbiza ili tuwahi kufika unakuta hadi sehemu kama iyovi au kitonga pale dereva anapapita like nobody's business!
 
Kabisa unawaacha wanahangaika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…