Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

chuma hiyo
Bavaria

Mad Max nakuona na chuma yako
4C37452A-629E-426D-A3CF-1CCDE4BA1104.jpeg
 
Mkuu pambana ndoto Yako itatimia. Kama umepangiwa upande huo ni suala la muda.

Ukipata nafasi ya umachinga kama Holy Man na mimi usikatae riziki popote. Sio bongo tu ukitaka nafasi ya jeshi Kuna jamaa wa kitaa alijiunga na jeshi la wageni la USA ujaribu na huko Kuna watu watakusaidia miongozo ya kufikia ndoto.
Mkuu, asante sana. Dubwana hili la Jamii Forums ni kubwa sana na lina watu wa kila aina, na wanaona.. ngoja tusubiri
 
Bado anaweza akawa askari asie na mamlaka wala uniform na Taifa likanufaika yeye sana. shida watu wanapenda mamlaka pia. Ukitaka taifa linufaike na kuwa salama hauitaji kuwa askari hata [emoji3][emoji3] hata kuhakikisha kipindu pindu na malaria mtaani kwako vinatokomea nayo ni huduma kubwaaa sana
Brother.. Mamlaka hapana, wengine tunapenda sana giza kuliko mwanga, tuna principles pia katika maisha yetu "anonymous is the key".

Ndio maana kwenye comment yangu pale nilisema.. kila mtu analitumikia taifa kwa namna fulani fulani, awe ni askari ama sio askari.
 
Dah mwanangu[emoji23][emoji23][emoji23]
Kipindi hicho sielewi natoka wapi napenda wapi.

Unakumbuka nikawa nakuambia ukiniacha hapa napotea [emoji38][emoji38][emoji38].
Nilikuwa na siku 3 tu Dar yaani ndio ilikuwa mara ya kwanza kutoka nyumbani..Hata mbezi nilikuwa sipajui [emoji23][emoji23]

Basi nikiwa napita hapo Ubungo,nikiona hilo jengo nacheeka halafu nakukumbuka.

Hivi tulipita wapi pale kula kuku?[emoji39]
Baba mwendo wako[emoji38][emoji119],na yale maua kwenye gari [emoji23]sisy alibaki anatabasamu...
Nikampa na yule kuku[emoji23]
Halafu nyie watu wa mbeya bhana !!! Huwa mnakuja dar chuo tu kwa mara ya kwanza[emoji1787]
 
Hili nalo ni neno , natoka singida saa moja saa tatu na nusu nipo bambalaga tunaanza na supu nzito kabisaa.. jumamosi naona panawaka sana pale , shida hawawezi zile za kibabe asubuhi pale wanabaki sana wachezaji wa akiba, wachezaji wote wa maana wanakata pumzi mapema

Offshore Seamen
Bambalaga, nilikuwepo pale last month.. mabaunsa wao miyeyusho sana.. wakikuona kijana kijana au wa castle lite 2 unakunywa masaa 3 huingii.. kuna jamaa yetu walimzuia bahati nzuri baunsa mmoja nafahamiana nae alikuwa mkoa fulani kipindi cha nyuma ndio nikamuomba akamuachia jamaa aingie [emoji3]
 
Back
Top Bottom