Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,743
Pale hawana akili, huwezi jua mtu kwa kumtazama tu. Wengine tunao kunywa maji ndio wanaonaga kama mafala. Siku moja walinizingua kisa sandals, nikaa nje kwenye gari yangu nilipomaliza nikarudi kwa manager wao nikamchana, respect niliondoka saa mbili kwa hasira makunywa maji tu, badae wanakuja niomba nauli 😀😀😀Bambalaga, nilikuwepo pale last month.. mabaunsa wao miyeyusho sana.. wakikuona kijana kijana au wa castle lite 2 unakunywa masaa 3 huingii.. kuna jamaa yetu walimzuia bahati nzuri baunsa mmoja nafahamiana nae alikuwa mkoa fulani kipindi cha nyuma ndio nikamuomba akamuachia jamaa aingie [emoji3]