Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,743
Huwa nabaki na maswali mengi sana kuhusu mainjinia wetu.
Lanisters always pay their debtsSifa kitengo boss, hata polisi, magereza, zimamoto wapo wanaoukula shavu tu mbona.
Plus ukiingia huku uwe unaipenda kazi kwelikweli, maslahi baadae.
Naona avatar ya bwana Tyrion Lannister hapo The imp [emoji3]
kweli, nimefatana nayo umbali mrefu sanaa napuyanga tu nyuma yake... udenda ulikuwa unanitoka tu 🥸🥸🥸M5 kweli au badge tu?!!
Sure mnqshindia track na jezi huko kambini[emoji1][emoji1787][emoji23] [emoji23] raia hawana jema.
Utasikia mara tunashindia ma-track suit hatuvai vizuri, vigari vyetu vidogo dogo tena tunanunua kwa kuigana [emoji23]
Halafu trafiki huwa wanawagway sana jamaa alikuwa anakipepeza kavaa full kombati hakupa cheti hataHahaaa [emoji23][emoji1787][emoji1787]
Dah yani pamoja na lift lakini huna jema
Hizo ndinga za ma-major ma luteni kanali kwenda juu hukoKuna copl mmoja alijitumbukiza kwa Kluger kwani alitoboa hata mwaka? Now karudi kwa premio.
Mkuu, asante sana. Dubwana hili la Jamii Forums ni kubwa sana na lina watu wa kila aina, na wanaona.. ngoja tusubiriMkuu pambana ndoto Yako itatimia. Kama umepangiwa upande huo ni suala la muda.
Ukipata nafasi ya umachinga kama Holy Man na mimi usikatae riziki popote. Sio bongo tu ukitaka nafasi ya jeshi Kuna jamaa wa kitaa alijiunga na jeshi la wageni la USA ujaribu na huko Kuna watu watakusaidia miongozo ya kufikia ndoto.
Sina uzoefu saaana wa magari, ila kwa issue ya stability kwa gari za mjerumani hupaswi hata kuuliza, hii ni kwa wadau mbalimbali niliokaa nao wana gari za mjerumaniWakuu vipi kwa mwenye uzoefu bmw x3 ipoje? Kuanzia stability fuel consumption na mengineyo
Asante sanaPole sana mkuu. Mungu ni mwema kama amekupangia huko basi atakupigania na utapata regardless.
Rajot pikioiki za jeshi[emoji1]Mimi nina mjomba angu mpaka anastaafu alikua piki piki zile walipewaaga nilibaki namshangaa tu aise
Siyo wote kaka [emoji3]wajeda wa kizazi hiki [emoji15][emoji15][emoji15][emoji15] au unazungumzia wajeda gani, hadi wana honga ili waende sudan ku make bingo
Bongo hii izo means sasa mpaka uzipate [emoji3]Sio lazima uwe JWTZ ili utumikie taifa. ziko meansa nyingi sana ambazo unaweza litumikia taifa
[emoji3][emoji3] sio uaskari peke yake KarmaYeye amesema anataka litumikia taifa kupitia uaskari tu jamani Holy Man ni nini lakini mbona unamfuruga kijana wa watu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Brother.. Mamlaka hapana, wengine tunapenda sana giza kuliko mwanga, tuna principles pia katika maisha yetu "anonymous is the key".Bado anaweza akawa askari asie na mamlaka wala uniform na Taifa likanufaika yeye sana. shida watu wanapenda mamlaka pia. Ukitaka taifa linufaike na kuwa salama hauitaji kuwa askari hata [emoji3][emoji3] hata kuhakikisha kipindu pindu na malaria mtaani kwako vinatokomea nayo ni huduma kubwaaa sana
Halafu nyie watu wa mbeya bhana !!! Huwa mnakuja dar chuo tu kwa mara ya kwanza[emoji1787]Dah mwanangu[emoji23][emoji23][emoji23]
Kipindi hicho sielewi natoka wapi napenda wapi.
Unakumbuka nikawa nakuambia ukiniacha hapa napotea [emoji38][emoji38][emoji38].
Nilikuwa na siku 3 tu Dar yaani ndio ilikuwa mara ya kwanza kutoka nyumbani..Hata mbezi nilikuwa sipajui [emoji23][emoji23]
Basi nikiwa napita hapo Ubungo,nikiona hilo jengo nacheeka halafu nakukumbuka.
Hivi tulipita wapi pale kula kuku?[emoji39]
Baba mwendo wako[emoji38][emoji119],na yale maua kwenye gari [emoji23]sisy alibaki anatabasamu...
Nikampa na yule kuku[emoji23]
Bambalaga, nilikuwepo pale last month.. mabaunsa wao miyeyusho sana.. wakikuona kijana kijana au wa castle lite 2 unakunywa masaa 3 huingii.. kuna jamaa yetu walimzuia bahati nzuri baunsa mmoja nafahamiana nae alikuwa mkoa fulani kipindi cha nyuma ndio nikamuomba akamuachia jamaa aingie [emoji3]Hili nalo ni neno , natoka singida saa moja saa tatu na nusu nipo bambalaga tunaanza na supu nzito kabisaa.. jumamosi naona panawaka sana pale , shida hawawezi zile za kibabe asubuhi pale wanabaki sana wachezaji wa akiba, wachezaji wote wa maana wanakata pumzi mapema
Offshore Seamen
Mzee nasikia una mapenzi sana na mjapan ukaamua uweke carpet zake kabisa [emoji16][emoji16][emoji16]Wanawaza kupiga tu