Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

hapa ndo huwa natamani kuwa konda,

kuna time napandaga tu Esta nashuka Kwa Mathias narudi

zile ligi huwa zinanipa Raha sana...Ila likitokea La kutokea basi tena

Kuna Siku mlandizi ilikuwa sauli,New Force na Dar lux ...ile ligi hatari nilitamani nikapande sauli nishuhudie Mtu anavyopigwa vumbi
 
Yaani wewe nahisi hautamani my dear! Huwa nawatamania sana wale makonda wa hayo mabasi yaani zile ligi zinanikosha balaa!

Ila nimeshangaa Dar Lux kuwepo kwenye list ya basi zinazofanya ligi maana ninavyojua hao hawajawahi kuwa na haraka kuna siku tulitoka nalo Mbeya saa 12 asubuhi saa 6 usiku ndiyo tunaingia Shekilango nikasema sirudii tena! Kitu Sauli mnatoka Mbeya saa 12 mawio saa 12 machweo mko Kimara!
 
Hapana mimi sio demu ila ni hawara wa mama ako chief.
Hapana Mkuu, umekosea Mama yangu siyo Msagaji Kwanz ahajui.

Yule Daraja lingine kabisa tena sana!! ujipange kwa mashairi, sijakosea halafu mrembo anaita!! akili na roho yake! huna jeuri hata ya kumsimamisha! ukibisha nikupe number zake umtongoze! ni kawaida sana kwetu sisi, hata e-mail ntakupa ila onyo hajui kiswahili!! labda kidooogo!! uongee labda kiinge... km unaweza kazi kwako!


Asa wee!! hela tu ya kula tu unaomba! mwanamke mwenzio utampa nini au utasaga bure?! utamuweza mama angu kweli?! Ebu nambie utaanzaje kumtongoza ili ufikie malengo yako. kidogo tu anza......
 
[emoji23][emoji23][emoji23] kwahiyo raha ipo ukiwa umeyapanda hayo mabasi uovertake wengine ila usipande gari ndogo halaf hayo mabasi yakuovertake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Siku hizi naogopa barabarani maybe kwakua najua hatari zinazoweza tokea ila enzi hizo ninepanda sana mascania naona kawaida mnoo kwenda maporini mpk mombasa kibiashara, sithubutu sasa hv.

Nimekuja kuwa maandazi sana.
 
Nitajitahidi iwe kwenye plan ya upcoming road trips
It'd be one of the best aise! Na lile baridi la yale mawingu yanayoshuka barabarani maana kuna sehemu barabara inapita juu kabisa ya milima inakutana na mawingu ya mvua sasa ile scenery daah raha sana!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mkuu... unajua nacheka sana. Unanikumbusha mbali sana. Hivi Laswai bado yuko Esther? Hajaja kula nyama choma kwetu muda kweli.

Honestly vitu navyopendaga najishangaa sana. Na watu ndo wananishangaa zaidi maana napenda vitu vya kiume sana. Yaan kiujumla napenda mambo magumu magumu kama haya. Yaan wananiulizaga kama ni mwanamke. Kuna siku hapo stendi ya Arusha nilipelekwa nichague basi. Yalikuwepo mazuri yale ya kishua. Sikujibu kitu. Nikaenda na begi langu nikapanda ngorika na nikakaa kwenye siti yangu. Acha wahuni wa stend wanishangilie najua vitu vikali[emoji23][emoji23][emoji23]...


Siku nyingine miye na buffalo...
Yaan nilikuaga napenda pale kona kali ya old korogwe kwenda stend mpya hapo njia panda ya handeni jinsi ngorika na buffalo zikipita engene zinavyopumua. Yaan dereva akikosea ile kona anapitiliza mpk magoma[emoji23][emoji23]. Shule mimi ndo mkatisha tiketi... yaani kiume ume. Nilikua napenda ligi balaa.

Niko radhi kuuza spare za magari, pikipiki ama bajaj na si viatu wala gauni mpk leo. Basi baba anafurahiiii[emoji23][emoji23] anasema hakika nina kichaa mwenzangu.
 
Ah mie hata nikiwa na gari dogo nikaona hao wananiovertake huwa sina shida nawaacha tu! Maana naelewa raha wanayoipata!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…