Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Labda mwenzio anamaanisha kukunja kuanzia M50 kwa mwezi, tukizungumzia hapo hakuna LT wa M50 per month. [emoji1787]
Kwani hata uraiani ni raia wangapi wanakunja hizo M50 kwa mwezi? Kama siyo wale wafanyabiashara wakubwa wenye biashara zinazoeleweka au wale viongozi na managers ama directors wapigaji?

By the way kwa jeshini lieutenant general anaweza kuwa anakunja hiyo maana wale general/flag officers ni level nyingine! Ila lieutenant colonel, second lieutenant, first lieutenant hakuna anayekunja hiyo!
 
Maisha ni kujiongeza mkuu wangu, maisha ya mshahara hata uwe Kanali au Jenerali wa nyota moja au mbili, usipo cheza vizuri utashangaa mwenyewe
Hakika mkuu, Kupata mshahara mkubwa ni jambo moja na kujiongeza ni jambo jingine.

Hao wakubwa wanaofilisika na kutia huruma ni kwamba tu hawajiongezi lakini kusema kwamba wanapata hela ndogo ni uongo! Si nilikuambia kuna yule jamaa sergeant ila ana maisha mazuri na hana njaa wakati kuna captains wana njaa na maisha ni ya kubangaiza sasa utasema kwamba sergeant (V3) analipwa zaidi kuliko captain ([emoji294]3)?
 
Mshahara mkubwa kwako unaanzia shilingi ngapi ?
 
Huu wimbo umebeba staili zake nikajua ni wake kumbe kashirikishwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…