Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Habari wadau....

Sio msiba wala sio sherehe wala sio kesi wala sio kufikisha mzigo wa kafiri (transporter).....

Imebidi niamke alfajiri, nimemuamsha na fundi aje gereji na sikukuu yote hii...

Cha kwanza amenza kubadili oil, ilibaki km 50 ifike muda wa kuibadili.

Na mengine yanaendelea, ili nikae sawa barabarani....

Natakiwa saa 11 jioni ya leo niwe Msamvu....

Naombeni kujua hali ya barabara kutoka Mbezi ya Kimara hadi Msamvu ikoje, nimeshajiandaa kisaikolojia na kero ya malori na mabasi...

Ila Fundi ananilalamikia huyooo 😅 anasema “nimekuja kwa heshima yako tuu, nimeacha usingizi wangu na mamsapu madikodiko bin masapta sapta ya waifu...”

Basi hapa najibembeleza aniangalizie asiniache mwenzie nikalala barabarani nikachelewa apointimenti....

Nampamba pamba hapa, you know you are the best fundi in Town, hata iwe usiku nakutafuta wewee.....😜

Basi anapa bichwaa.....😁

Well, to my walker, he is the best.

Wasalaam Bi Kasinde.
 
Fanya hivyo kaka zako tunataka siku Moja tukuage kwa Ngoma ya Mtoto wa Soko Matola Young D, ule wimbo wa dada huyo anaolewa.

Karma hatatusaidia kuweka mashairi ya huo wimbo.

Mwanzo anataja Mitaa yenu from Soko Matola Kajunjumele kwa Mwakitumbili.
Sokomatola mitaa yangu[emoji38]
Ukiisha huo wa young D,tunamalizia na goma la Izzo B..Tumogheleee.

Tunamalizia na vitu vyangu vya gospel "Naloli".
 
Halafu hivi eti kati ya M Performance na M Competition ipi iko Vizuri zaidi
M performance are less powerful to m competition. They can be 40i & 50i.

M competition ndo top notch kwenye performance kwa bmw. The most powerful ones zina 625hp zipo kwenye x6 na x5. M competition za X3, X4, M3, M4 zina 510hp.
 
Pana ka upuuzi flani pale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…