Vipenyo wa kijeda watakuchukua code apoalie karibu na NDC park, akaribie nipo viwanja vya wajeda jeda πππ
Karma
mzee mwenzangu Offshore Seamen
Ndo biashara za kisasa hizo na mwenzio akija anapendwa mpaka anunue ha ha haaaKuna muhudumu kanipenda hapa, sijui anataka bili iwe kubwaaa ana tabasamu zuri huyo hadi nashindwa kukataa kufanya manunuzi ππ
[emoji3][emoji3] sema kile kiwanja ni hatari bhana.. sio mchezo, ila ukienda kizembe huingii wale mabaunsa wanazingua sanaPale hawana akili, huwezi jua mtu kwa kumtazama tu. Wengine tunao kunywa maji ndio wanaonaga kama mafala. Siku moja walinizingua kisa sandals, nikaa nje kwenye gari yangu nilipomaliza nikarudi kwa manager wao nikamchana, respect niliondoka saa mbili kwa hasira makunywa maji tu, badae wanakuja niomba nauli [emoji3][emoji3][emoji3]
Looking forward to it comradeHapa nimekusoma, tuanzishe TISS yetu
Inasikitisha sanaBora iwe stor tu japo namuonekano wake unasapot
Hivi si wa chuga huyu?
Baunsa anizuei nina hela zangu ? Fanyia kufuru nje pale hadi waje kujipendekeza wenyewe huku una maua mazuri mazuri yapiga tu Hennesy π¨πΏβπ¦³π¨πΏβπ¦³π¨πΏβπ¦³[emoji3][emoji3] sema kile kiwanja ni hatari bhana.. sio mchezo, ila ukienda kizembe huingii wale mabaunsa wanazingua sana
watatuua aseeeNdo biashara za kisasa hizo na mwenzio akija anapendwa mpaka anunue ha ha haaa
Leo trafic ni wengi sana Dar. Wameshika sehemu kwa ajiri ya tinted, askari ananiuliza hii gari ni ya kazi naalumu nimekaa kimya namtazama, anasema tuandike kosa la tinted nikamuambia acha hiyo gari ya kazi πππππVipenyo wa kijeda watakuchukua code apo
Soko MatolaInasikitisha sana
Dah halafu hata sijuagi ni wa wapi huyu
Jioni njoo kijiwe Classic Cha kahawa/Tangawizi na Alkasus sisi tumewekewa mpaka TV, kijiwe kipo njiani maua mazuri yanapita uku ukipata funda maridadi.Mambo yangu hayo ππ watoto wa kishua hawajui haya mambo kina Mad Max View attachment 1979493
Jioni lazima nipite pale Makumbusho stand karibu na Nexus Kuna kijiwe Cha Gahawa opposite na maduka ya Iphone.Mambo yangu hayo ππ watoto wa kishua hawajui haya mambo kina Mad Max View attachment 1979493
Mkuu hatutojenga πππJioni njoo kijiwe Classic Cha kahawa/Tangawizi na Alkasus sisi tumewekewa mpaka TV, kijiwe kipo njiani maua mazuri yanapita uku ukipata funda maridadi.
Pale noma sana juzi nilikuwa pale mmmhJioni lazima nipite pale Makumbusho stand karibu na Nexus Kuna kijiwe Cha Gahawa opposite na maduka ya Iphone.
Tutajenga Mdogo MdogoMkuu hatutojenga πππ
Pale noma, unaweza kuta unashindwa fanya maamuzi mazito na sijui kama beki za pale kama zinakabaTutajenga Mdogo Mdogo
Kujenga ni uoga wa maisha ππTutajenga Mdogo Mdogo
tutalala hata mapangoni tu π¬π¬Kujenga ni uoga wa maisha ππ
Mmhh Kwamba ni mtu wa huko au ameishi tu hukoSoko Matola
Uliwakomesha sana halafu baadae wanakuomba hela [emoji3]Baunsa anizuei nina hela zangu ? Fanyia kufuru nje pale hadi waje kujipendekeza wenyewe huku una maua mazuri mazuri yapiga tu Hennesy [emoji2572][emoji2572][emoji2572]