Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Pale hawana akili, huwezi jua mtu kwa kumtazama tu. Wengine tunao kunywa maji ndio wanaonaga kama mafala. Siku moja walinizingua kisa sandals, nikaa nje kwenye gari yangu nilipomaliza nikarudi kwa manager wao nikamchana, respect niliondoka saa mbili kwa hasira makunywa maji tu, badae wanakuja niomba nauli [emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji3][emoji3] sema kile kiwanja ni hatari bhana.. sio mchezo, ila ukienda kizembe huingii wale mabaunsa wanazingua sana
 
[emoji3][emoji3] sema kile kiwanja ni hatari bhana.. sio mchezo, ila ukienda kizembe huingii wale mabaunsa wanazingua sana
Baunsa anizuei nina hela zangu ? Fanyia kufuru nje pale hadi waje kujipendekeza wenyewe huku una maua mazuri mazuri yapiga tu Hennesy 👨🏿‍🦳👨🏿‍🦳👨🏿‍🦳
 
Mambo yangu hayo 😀😀 watoto wa kishua hawajui haya mambo kina Mad Max
83A420EA-21A3-47E4-86FE-242B88D020A0.jpeg
 
Back
Top Bottom