Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

[emoji1][emoji1][emoji1]we acha tu....
Ilikuwa hivi...sote tunaelekea Arusha, mbele kuna fuso linaenda taratibu,Nyuma ya fuso kuna Arusha Express na nyuma ya hili basi nipo mimi..
Fuso lina mzigo kwa hiyo mwendo ulikuwa kama speed 70 hivi...mazingira yakaruhusu kuovateki, nikakiamsha kikafika 110 kph nikaanza kulipita basi, nilipofika usawa wa dereva wa basi akanigeukia, naye akalitoa ili alipite lile fuso....basi tu niliishia kutolewa nje ya bara bara...jamaa akanipigia tu mahoni...mimi huku gari limeparamia kaukingo kadogo ka kalavati, wakati huo wheelcape imeruka kule, wiper zimewaka zenyewe....
Yaani yule fala yule...

Sina hamu na mabasi..
 
Unatamani umrudie...mimi nilijisemea nikikuta Askari wa barabarani karibu nasimama nawaambia kilichotokea wang'ang'anie huko mbele. Na ningewaambia wale askari taarifa hii naifikisha kwa mkuu wenu....bahati yake sikukutana na askari maeneo ya karibu.
Nakuambia wiki nzima nilikuwa sina raha ya kuendesha barabarani...masikioni nasikia tu kile kishindo...

Akili iliyonijia, nilitamani ningekuwa mjeda, ningechukua kikosi tukamchukue tukakae nae kambini siku tatu tu...Si zaidi ya hizo.[emoji119][emoji119][emoji119]
 
Hamna tochi bana.

Labda ile ya kutokea USA river, nishawahi kuipita afu sio nzuri hata kama ile ya kule kwa kina bonge [emoji23] ya kina bonge tamu.
Bonge bongeee...[emoji1][emoji1][emoji38][emoji38][emoji38][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kuna siku tumepita kule na Noah kuna tochi za kuviziana....

Bora hii ya Usa to Town tumeshajua blind spots za polisi wanazozipenda.....[emoji38][emoji38]
 
Hili basi la Esta hili....kuna mtu limeshamkera huko juu.... mpaka akaliita Liesta..[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119][emoji119][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]pole sana mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Pole mnooo. Mshenz sana huyo aisee. Me nakuambia konyagi ndo inaletaga yote haya
 
Bonge bongeee...[emoji1][emoji1][emoji38][emoji38][emoji38][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kuna siku tumepita kule na Noah kuna tochi za kuviziana....

Bora hii ya Usa to Town tumeshajua blind spots za polisi wanazozipenda.....[emoji38][emoji38]
Nimecheka wakati naandika bonge.

Kule sijawahi ona tochi kabisa na nimeshapita mara zaidi ya 3, na private na Shabiby/ Machame za Dom- Aru
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] now u have a twin sister. Nimevaa sana nguo za kiume mm. Ila am being a woman siku hizi.[emoji23] sema ndo mambo hayo kuuza sketi na blauzi sina. Nahamia shamba na trekta nitakua dere mwenyewe[emoji23][emoji23][emoji23] huko hamna ligi. Nalikokota hadi kieleweke. Na mnisamehe tu... hata gari sitaki dogo nataka gari za kupita kwenye mawe makubwa hiko porini.
Ukiwa laini laini sana bwana ni tatizo. Lazima ukaze.
 
Mmhh hiyo milima ya manyara sijawahi kupita! Ila yenyewe siyo giza totoro ni mawingu tu meupe ambayo yanakuwezesha kuona mbele yako kidogo siyo giza kabisa!
Kule manyara ni giza kweli. Na sitaman kabisa kusafiri kipindi hicho. Si wakumbuka hata zile school bus za lucky vicent ziliuaga kipande hicho? Dereva hakua anajua akawa anatembea na Yesu tu basi yesu akampokea
 
Yaani kwa ujumla basi lolote si salama kabisaa kwa gari ndogo...

Hii barabara yetu ya kaskazini, mabasi yanayotoka Arusha kwenda Dar au Dar Arusha....yana fujo sana kwenye kipande cha Arusha mpaka Himo njia panda.......
Weeee. Achaaa[emoji119][emoji119]
Kuna siku nilienda kata tiketi nikapata extrA luxurt siti ya mwisho kabisa. Ni vile ilinilazimu sana kusafiri. Basi alfajiri nikadropiwa stendi pale. Nilikua abiria wa pili kufika ile saa 11. Kama kawaida nikaingia mpk mwisho. Nikakumkuta dereva amelala. Jina namuhifadhi. Akaniuliza mrembo kwanini umekuha kukaa huku nyuma nikamwambia ndo siti nilopata. Akanambia kwakua ni wewe basi sitakimbiza. Nikatabasamu na kuwa excited sana kwann amekua concerned hivyo na hiyo siti ya mwisho ina kuwaje. Basi nikakaa zangu akaamka akaenda zake mbele.

Safari ikaanza saa 12 kama kawa. Kwani anakumbuka kuna mrembo tena huko nyuma?[emoji23][emoji23] yaan watu ni wanakiwashaaaaaa. Na hizo booster matuta yanafukiwa balaaa. Yaan hiyo amsha yake balaa. Nikaona nitakufa. Nikatembea na biti mpaka mbele kwa dereva. Nikamwuliza vipi, mbona uliniahidi hutakimbia, imekuaje? Unataka kunitoa roho yangu? Alichekaaaaa kufa akanambia unajua tunatakiwa tufukie hiki kipande cha moshi na arusha. Yaan anakuambia inabidi waamshe balaaa ili wakafikie wa moshi. Na hapo kumbuka wa moshi nao wanatoka saa 12. Sindo kuuana huko? Na wale kukuacha hawajali ukichelewa. Yaan wanatembea ya kutosha. Basi bwana huko mbelembele wakapunguza kidogo. Na hapo ni vile kuna vibao kibao vya 50km na matrafiki wa kushtukizaaa. Balaaa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…