Hahhaha! Pole!!This is daslam [emoji119]
Nimepanda mwendokasi yaani mtu kaninyanyulia kwapa lake lote usoni [emoji30],limeloa jasho na linanuka[emoji36]
Hivi daslam inawezekana kuvaa nguo mara nyingi bila kufua??
Aisee kuna watu wana vikwapa vikali mno[emoji22]
Sent using Jamii Forums mobile app
Na hili joto chaaa!![emoji38][emoji16][emoji119][emoji119][emoji119]Hahhaha! Pole!!
Kwanza nani ataenda kiwatoa wale?Halitoki tena na hisi kuna siasa ndani yake
Yaani huko msimbazi,narung'ombe sijui shimoni naona kupo vilevile tu.
Sijaona kilichobadilika kabla na baada ya tar31.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1]Dearest sisy, naona sasa ushaanza kuielewa mitaa ya DarSlum. Mdogo mdogo utalijua jiji.
-Kaveli-
This is daslam [emoji119]
Nimepanda mwendokasi yaani mtu kaninyanyulia kwapa lake lote usoni [emoji30],limeloa jasho na linanuka[emoji36]
Hivi daslam inawezekana kuvaa nguo mara nyingi bila kufua??
Aisee kuna watu wana vikwapa vikali mno[emoji22]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kipande chenye kona kama zote ni kutoka sehemu inaitwa Tunduru kuitafuta Songea yani hapo ni kulala kushoto then kulala kulia kwa masaa 2 na ushee hivi.Wapi hii?
Imagine nimesimama tangu kivukoni hadi Mbezi,nanusa kwapa la mtu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Pole sisy. Humo sio vikwapa pekee. Humo na shuzi ni za mwendokasi nonstop. Mpaka unashuka kituo chako, marashi yako yote yeshakuwa compromised. [emoji41]
Asalamaleko Mzizima.
Asalamaleko DarSlum jiji la wavuja jasho.
Mkuu Holy Man , hebu tufanye kaharambee ili huyu mtakatifu mwenzio apate japo Passo avimbe nayo road. Dada yangu mzuri Anne doesn't deserve such damn miserable transport ya mwendokasi.
Queen Karma , what's up .
-Kaveli-
Kariakoo ipi? Maana juzi mapema sana nilipishana na jopo la wajuba walioshika virungu kama tupo ukanda wa Gaza!Hivi hiyo hamishahamisha inachagua maeneo eeh?
Nimepita kariakoo naona machinga wamejaa kama kawa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahah kweli kabisaSiku ya jana hata sikuwa naielewa, nikaamua tu kuanza kutembea, nimerudi nimechoka nikalala zangu 😀😀😀
Na linampango wa kuwaua raia wote kabla december haijafika🤓Jamani jua ni kali sanaaa... Mkituona huko njiani sio lazima tuwapungie, ni mjiongeze tu kutusogeza 😂
Jua limeunga bundle la mwezi, halitaki mchezo kabsa.
Karibu DaslamaThis is daslam [emoji119]
Nimepanda mwendokasi yaani mtu kaninyanyulia kwapa lake lote usoni [emoji30],limeloa jasho na linanuka[emoji36]
Hivi daslam inawezekana kuvaa nguo mara nyingi bila kufua??
Aisee kuna watu wana vikwapa vikali mno[emoji22]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kariakoo hiyohiyo.Kariakoo ipi? Maana juzi mapema sana nilipishana na jopo la wajuba walioshika virungu kama tupo ukanda wa Gaza!
Ile si kwa ndani yani mitaa ya ndani bado kunae nyomi balaaKariakoo hiyohiyo.
Hivi umepita kule narung'ombe??
Kutokea tu pale polisi msimbazi kwenda sokoni shimoni,ile barabara imejaa watu kama Kawaida.
Kuna waliohamishwa kwani??
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata kupita ni shida.Ile si kwa ndani yani mitaa ya ndani bado kunae nyomi balaa
Ungana na best naso tu rudi kijijini
[emoji23]Shi ngapi; maana kuna trip nataka nipige nikifikiria wese nasita kidogo, maana siku hizi disel na petrol ni kama mapacha tuNasikia wese limeshuka bei?