Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Saint Anne namchukulia C200
 
Miaka yote pale pamekuwa pagumu kutoa watu. Ngoja tuone
Kwakweli ngoja tuone.

Mbezi wamesafisha mabanda yote stand ya daladala ipo tupu,ila nimeshangaa kkoo hata njia ya kupita hakuna kwa jinsi machinga walivyo jaa.

Hili zoezi mbona kama linachagua eneo [emoji848]!
Au wanawaogopa[emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kariakoo pagumu; umesahau kuna kipindi cha jk mgambo walikuwa wanapita wanapakia hadi bidhaa za wamachinga kwenye magari na kuondoka nazo lakini ikashindikana
 
Nothin' just the sky bruh! How you doin'?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…