itakuwa mlijaa sana πππBambalaga ππππ
Hahaha kumbe ulipita kwenye kijiwe pendwa. Panajaaga sana weekend hapo.Bambalaga [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Weekend βNimeshindwa kuingia. Watu wamejaa kama sisimizi!
Ijumaa pale na jumamosi na + NBC Marathon lazima patapike na ka sehemu kadogo kale,Nimeshindwa kuingia. Watu wamejaa kama sisimizi!
panakuwa ovyo sana, ndio maana nje ya dar sehemu nikisema naenda huwa napenda mwanza.. na ninakuwa na masaa yangu ya kuingia na kutokaSehemu inayojaa hivyo siiwezi
Usisahau kutuwakilisha na msalato kwenye nyama choma [emoji4][emoji4]Ni hatari. Watu wameshonana kama mchicha
hapa angekuwa mwanangu Offshore Seamen angevua hadi nyavu zikapasukaNi hatari. Watu wameshonana kama mchicha
Mnyama athletesDua zenu wakuu naelekea Dodoma
View attachment 1999562
Kuna samaki balaa! Kuanzia dagaa hadi papahapa angekuwa mwanangu Offshore Seamen angevua hadi nyavu zikapasuka
kesho saa 11 naamsha nikitokea viunga vya chalinze dom mapema tu hapo ππKuna samaki balaa! Kuanzia dagaa hadi papa
sema mapapa yaliokomaa ni matamu sana au sio Offshore SeamenKuna samaki balaa! Kuanzia dagaa hadi papa
Chaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Zimepatikana za laki 2 Saint Anne [emoji3]
Tusingizie nini tena? Au tuna allergy na petrol ?
View attachment 2000776
Kawe kanatunia Nini eti [emoji23][emoji23][emoji23]Chaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Gari kama kiatu Cha mtoto[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila kama ni laki 2 basi hadi mimi nanunua.
Wese litajipa mbele ya safari.
Ni vizuri kawe kanatumia diesel.
Sent using Jamii Forums mobile app