Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Madereva wa Dar express wa Nairobi wapo vizuri sana.

Gari inakimbia mpaka unafurahi.

Sent from my SM-A720F using JamiiForums mobile app
 
Nina perception mbaya na polisi.

Binafsi siamini kama polisi wanaweza tatua shida zangu.

Kuna wakati wakinisimamisha huwa nawa-ignore tu hasa nikiwa highway.

Sent from my SM-A720F using JamiiForums mobile app
Yes. Utakuta ni washkaji balaa. Na wanajuana vizuri sana wanapewaga ya kiwi. Ndo maana unakutaga hawana wasiwasi kbs.

Ila kuna namna huwa wanafanyaga hao real madrid. Bila shaka unanielewa nikisema real madrid. Wakiona huyu ni mshkaji sana wa fulan kuna namna wanafanya.

Wanamchukuaga mmoja ambaye wanajua si mshkaji wa madereva wanaenda kumtupa kwenye chaka lingine.

Mfano... huwa wanajuaga kuna mabasi wanapitaga mitaa fulan kabla ya muda. Sasa mmoja wao anadandia lift. Kuna siku mmoja tulimchukua na camera yake. Tukafika hapo tanga machakani akatuomba tumshushe na tusimchomee kwa magari yanayokuja[emoji23][emoji23][emoji23] akatuambia huu ni muda wa CHAKITO kupita nataka kuwanyoosha. Akatuomba sana tusichome huko mbele maana ni chimbo jioya la dharura bado madereva hawajajua. Tukamwambia poa. Jaman... alivyoshuka alibingirika kama mwanajesh wa Afghanistan. Unawajua wale makomando? Yaan akabingirikia machakani. Ndo maana wanagongwaga na nyoka. Nilicheka kwanguvu kiukweli. Na kweli CHAKITO tukakutana nalo mbele kidogo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]
Wakati ndo tunatoka tulipomuacha kuna gari ilikua inakuja speed balaa jaman alivyochomoka maporini[emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Al saedy mtoe muweke Golden Deer DPK,..namba 1 Sauli 2.DPK /Kilimanjaro express ndo wanakuja wengine hao ndo wanaomwaga moto siku hizi kwa hiyo njia.
Alsaedy amechoka sana aisee. Ama ametoa moya recently. Nimewahi kwenda nayo moro ni ya ovyo sana kama miaka 3 nyuma
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]pole sana mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Pole mnooo. Mshenz sana huyo aisee. Me nakuambia konyagi ndo inaletaga yote haya
Asante sana....nilisalimika ila rim ya gari ilipinda...Ingekuwa ni alloy wheel, nadhani ingevunjika kabisa..
 
Njia ya Mbeya kwa Ligi ngumu ukiwa na gari lonyo lonyo unaua fasta,hata huyo Iman kwa kua ana gari chache kuliko newforce tena mchina mpe mwaka kama hana gari mpya anatema ligi.
Alsaedy amechoka sana aisee. Ama ametoa moya recently. Nimewahi kwenda nayo moro ni ya ovyo sana kama miaka 3 nyuma
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji1787][emoji1787][emoji1787].....Nadhani ungemuambia kuwa mkifika Korogwe mnakula wote lunch, lazima angekukumbuka...

Yaani safari Arusha Dar hiki kipande cha Arusha mpaka Himo sikipendi kabisa..

Kipandw kingine nisichokipenda ni Bagamoyo mpaka Uinge Dar au Chalinze mapaka Ufike Dar....

Hivi vipande nikivikumbuka vinaniondolea mzuka wa safari kabisa
 
Halafu fujo za kipuuzi maanake njia ikifunguka unamkuta mbele anachechemea. Huwa nawaambia abiria wangu mabasi hayana mwendo yana fujo.
Wana fujo zisizo na tija...yaani usipokuwa mwangalifu anapita na wewe......

Wengine wanaongea kwa kiburi "Basi lina bima kubwa hili.."

Sasa yeye andhani bima yake kubwa itarudishi roho ya mtu..
 
Yaani hapa umeongea kitu cha kunifurahisha..[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Haya mabasi pamoja na fujo zooote huwa ni MAKUNWA JINGA....
.Nakuhakikishia Wanaogopa Land Cruiser na Hayo Manissan patrol ya Ngaonza chuma...

Pia wwnajua nyingi ni za serikali hivyo hawajui aliyebebwa ndani ni nani..[emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119][emoji1787][emoji1787]
 
Hapa dereva wa YUTONG anakuacha uende kwa amani..[emoji23]

Ila yale Mangorika ya zamani yenye Chasis za Scania sijui ni 93M, achana nayo kabisa...yale ni machinja chinja..[emoji1787]
 
kwa Hivyo na mie nikianza endesha bus mtanisema namba hii?
Yaani mara nyingi udereva wa basi ni kama ule wa Toyo, Boxer, Fekon......maderwva wa hivi vitu wanapata mzuka fulani wa kijinga wa kuvunja sheria za barabarani...

Nakuhakikishia hata dereva wa Rais leo hii ukimpa Toyo, utaona anafanya madudu barabarani...


Sijui hivyo vyombo vina kilevi gani..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…