Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,092
- 53,496
Madereva wa Dar express wa Nairobi wapo vizuri sana.Jahahahahahaha yaan mkuu nimefurahi maana tumefanana aisee. Toka primary siti yangu ni nyuma ya dereva. Hiyo inajulikana. Msichana peke yangu the rest ni boys. Tunapiga story na dereva balaaa. Sijui yupe dereva mzee juma wa dar express kama bado. Tunawanunulia na bia kbs ili wakimbize tuwahi kufika dethilamu.
Panachangamkaga balaa. Mkinunua vitu mnashare kama kawa. Na akikimbiza wala huogopi. Mi najua dereva hataliangushia upande wake[emoji23][emoji23] analilaza kwa konda. Upande wa konda sikaagi.
Gari inakimbia mpaka unafurahi.
Sent from my SM-A720F using JamiiForums mobile app