4GR iko smooth sana aisee! Hasa ikipata mnyooko ndani ya dakika tu 180 unaanza kukopa speed!😅3.5L kwenye body ya sedan habari ingine mkuu. 2GR hio si mchezo. Mimi na 4GR tu kufuta kisahani ni sekunde kadhaa tu
Hii gari ni 3.5L ama mbona kama Vanguard?Hizi mambo zina wenyewe, na wenyewe ndio sisi.
Yani nimekifinya kile ki 4cylinder 2360cc kinalalamika lakini wapi mi nakibinya tu [emoji1787][emoji1787]
Leo ndio nimejua just how much more powerful the 3.5L is, watu wanavyosua sua kuovertake sio kosa lao, torque hairuhusu.
Kwakweli kisahani hapana kwa hii gari
View attachment 2041340
No hiyo ni 2360cc rav4 miss tz. Hapo nilikuwa naliongelea lile jini langu 3.5Hii gari ni 3.5L ama mbona kama Vanguard?
Nimemaamanisha it is overpowered and it scares me a littleHio 3.5 bado sio powerful kwako? Ushaizoea hata ukipata 5.0 utaizoea!
3GR nishaikalia kwenye crown GRS202 aisee ile kitu ni kama ndege tunapoongelea smoothness chuma inakata upepo sio masihara speedneedle inaamka na kulalia 180 within a blink na haipoi ikianza ni mpaka inafuta!Its super smooth! Kufuta kisahani kama mchezo tu. Sasa sijui 2/3GR itakuwaje.
Jini 3,500cc acha kabisa😅 unainjoy kufanya ubabe road!No hiyo ni 2360cc rav4 miss tz. Hapo nilikuwa naliongelea lile jini langu 3.5
ivi na 5. 0L au 6.0L zinakuwaje alafu ukute twin turbo 😁😁Jini 3,500cc acha kabisa😅 unainjoy kufanya ubabe road!
Hizo walitakiwa waweke 260kph...sema Mjapan ana akili ukianza kupanda kuanzia 160+ unaona kabisa gari inaachana na lami3GR nishaikalia kwenye crown GRS202 aisee ile kitu ni kama ndege tunapoongelea smoothness chuma inakata upepo sio masihara speedneedle inaamka na kulalia 180 within a blink na haipoi ikianza ni mpaka inafuta!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unahitaji maombi. Saint Anne msaada wako unahitajika
Lini unakuja kwetu kujaza full tank?Juzi nilikuwa najaza full tank, pump attendant akashangaa wese la 170k kuingia kwenye gari ndogo, hata Harrier hazipokei that much.
Nikamwambia we iite tu gari ndogo, subiri siku ukutane nalo in action [emoji1787][emoji1787]
Hizi sedans ni overpowered kwakweli.
Japo wana msemo, "If your car doesn't scare you a little, it is not powerful enough "
Niliona mazingira mazuri kwa pale njeIko vizuri sana nowdays wame renovate
Haha na hata muda wa kuangalia hawana ila wengine sasa, mafuta ya 20K tu shingo unaigeuza kama bundi mimacho yote kwenye pump eti unakagua wasiibe. [emoji23][emoji23]Lini unakuja kwetu kujaza full tank?
Nawapenda wateja wa full tank,,akifika hana mbwembwe,anasema tu 'jaza'.
Niliona mazingira mazuri kwa pale nje
Wazee wa full tank huwa mara nyingi wanaacha chenji.Haha na hata muda wa kuangalia hawana ila wengine sasa, mafuta ya 20K tu shingo unaigeuza kama bundi mimacho yote kwenye pump eti unakagua wasiibe. [emoji23][emoji23]
Mbeya nzima na Tanzania kwa ujumla[emoji846]Wako vizuri sana kimbeya mbeya lakini
MnoKaka yako noma