Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Hizi mambo zina wenyewe, na wenyewe ndio sisi.

Yani nimekifinya kile ki 4cylinder 2360cc kinalalamika lakini wapi mi nakibinya tu [emoji1787][emoji1787]

Leo ndio nimejua just how much more powerful the 3.5L is, watu wanavyosua sua kuovertake sio kosa lao, torque hairuhusu.

Kwakweli kisahani hapana kwa hii gari

View attachment 2041340
Hii gari ni 3.5L ama mbona kama Vanguard?
 
3GR nishaikalia kwenye crown GRS202 aisee ile kitu ni kama ndege tunapoongelea smoothness chuma inakata upepo sio masihara speedneedle inaamka na kulalia 180 within a blink na haipoi ikianza ni mpaka inafuta!
Hizo walitakiwa waweke 260kph...sema Mjapan ana akili ukianza kupanda kuanzia 160+ unaona kabisa gari inaachana na lami
 
Juzi nilikuwa najaza full tank, pump attendant akashangaa wese la 170k kuingia kwenye gari ndogo, hata Harrier hazipokei that much.

Nikamwambia we iite tu gari ndogo, subiri siku ukutane nalo in action [emoji1787][emoji1787]

Hizi sedans ni overpowered kwakweli.

Japo wana msemo, "If your car doesn't scare you a little, it is not powerful enough "
Lini unakuja kwetu kujaza full tank?
Nawapenda wateja wa full tank,,akifika hana mbwembwe,anasema tu 'jaza'.
 
Haha na hata muda wa kuangalia hawana ila wengine sasa, mafuta ya 20K tu shingo unaigeuza kama bundi mimacho yote kwenye pump eti unakagua wasiibe. [emoji23][emoji23]
Wazee wa full tank huwa mara nyingi wanaacha chenji.
Hawana shida kabisa ,zaidi anaweza kushuka akapiga stori huku mnamjazia.
Kuna gari zinashindilia wese jamani[emoji119],


Sasa hawa wenzangu na mimi wa tulita nne twa elfu 10 yaani atakusumbua hadi utajuta kumhudumia.
Mara pump mbona imechelewa kuzunguka au umesogeza mbele,,oh usinijazie upepo,,hadi unajiuliza hivi kaelfu 10 kake lita nne namjaziaje upepo!.
 
Back
Top Bottom