Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Kei car ya mjerumani (1 series au A class) ukilinganisha na kei car ya mjapani ndio wanakuwa worlds apart. Unavyopanda juu tofauti inazidi kupungua
Kuna pisi moja ilikuwa inapush hii chuma safari ya leo. Mwamba kavimba kushoto kwake. Safi sana aisee

Sasa tulinganishe hii na RunX kweli?

20211212_173435.jpg
 
Kwanza kumjazia mtu wa full tank raha sana.
Yaani full tank ni elfu 3 ,3 za bajaji 50.
Hasa pale mwisho yakishajaa,mwingine anatingisha gari kidogo,mnaanza kubinya pump taratibu huku mnaibana tena hadi yamwagike.

Kuna watu hawana hela ya mawazo hapa duniani.

____________________________.

Kuna gari zinaingia kujaza mafuta,yaani yeye mwenyewe anaogopa,
Mafuta ya elfu 5 pump inazunguka sekunde 2 imeshasimama.
Mtu huyu ukidondosha tone lake hata moja tu utajuta..
Atakupasua kichwa hadi basi.
Loh! [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji28][emoji28]
 
Loh! [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji28][emoji28]
Yaani petro stations kuna comedy za kila aina..
Wengine wakiona bei ya mafuta wanaanza kutukana viongozi wa serikali..atatukana hadi anaondoka.

...........................................
We jamaa ukifika nitafute tunywe bia mbili tatu.
 
Hizo walitakiwa waweke 260kph...sema Mjapan ana akili ukianza kupanda kuanzia 160+ unaona kabisa gari inaachana na lami
Gari nyingi hakuziwekea anti-roll kama ya mjerumani halafu sio nzito
Njoo tuiwekee kiraka, hakuna hatakae gundua Mali inakuwa kama imetoka Fuji Heavy Industries.
hahahahah wahuni sio watu😂 kilaka cha ngano na supagluu😅
 
Back
Top Bottom