ISO M.CodD
JF-Expert Member
- Feb 17, 2013
- 7,845
- 16,942
Kuna pisi moja ilikuwa inapush hii chuma safari ya leo. Mwamba kavimba kushoto kwake. Safi sana aiseeKei car ya mjerumani (1 series au A class) ukilinganisha na kei car ya mjapani ndio wanakuwa worlds apart. Unavyopanda juu tofauti inazidi kupungua
Sasa tulinganishe hii na RunX kweli?