Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Inabidi tufanye maarifa nikupe card ya wese, uwe unajaza ka tank, maisha kusaidiana mkuu wangu [emoji4][emoji4][emoji4]
Haha mimi hata gari sina mkuu, nilikuwa naongelea wale ambao gari zao hazijui full tank kila siku lazima wareport kwa gas stations kuweka mafuta ya 10K-20K. [emoji3][emoji3]

Nina rafiki yangu ana kidaihatsu cha 990cc mafuta ya 5K anatumia siku 2 na distance anayozunguka kwa siku kwenda na kurudi haipungui 20km, huyu ni special case kabisa. [emoji2][emoji2]
 
Kuna magari ni makavu jamani
Yaani unakuta mtu akiweka mengi basi ni elfu 10 lita nne.
 
Haha mimi hata gari sina mkuu, nilikuwa naongelea wale ambao gari zao hazijui full tank kila siku lazima wareport kwa gas stations kuweka mafuta ya 10K-20K. [emoji3][emoji3]

Nina rafiki yangu ana kidaihatsu cha 990cc mafuta ya 5K anatumia siku 2 na distance anayozunguka kwa siku kwenda na kurudi haipungui 20km, huyu ni special case kabisa. [emoji2][emoji2]
Aaah! Usiogope 😂😂😂 mie sina shida kabisa tunasaidiana tu
 
Wakuu habari,
kwa atakae kua na trip ya kwenda Mwanza au Musoma kati ya tarehe 22-24 naomba anijuze, maana usafiri niliokua nimeplan wa basi mpaka sahivi yamejaa na nahitaji kwenda huko kwa ajili ya sikukuu. Kwa yeyote ataekua na trip ya huko naomba anijuze Nitachangia mafuta.

Natanguliza shukrani zangu wapambanaji
 
Extrovert ulipata taa za gari?

Kuna jamaa nimeona anazo

705F6067-5769-41C8-B1D1-1CE9DC90CE58.jpeg
 
Haha mimi hata gari sina mkuu, nilikuwa naongelea wale ambao gari zao hazijui full tank kila siku lazima wareport kwa gas stations kuweka mafuta ya 10K-20K. [emoji3][emoji3]

Nina rafiki yangu ana kidaihatsu cha 990cc mafuta ya 5K anatumia siku 2 na distance anayozunguka kwa siku kwenda na kurudi haipungui 20km, huyu ni special case kabisa. [emoji2][emoji2]
Gari inatembelea E- Eliza daily ni mwendo wa kushindana na kuizima taa ya mafuta ikiwaka unaenda sheli kuizima tena unaendelea na misele😅!

Siku gari ikipigwa F- Mswaki ujue inahama mikoa hio 😅
 
Sasa we unataka uweke full tanki uende wapi aisee[emoji23] shida ya gari ikiwa na mafuta mengi ndio unapata akili za Kijana wa hovyo hovyo kutoka Dar kwenda Cate hotels Moro kunywa kahawa[emoji28] na kurudi
Ah we lita 2 jamani!gari??
Haya ni madhara ya kila mtu kutaka kumiliki gari hata wasio na uwezo.
Bora siku hizi tumeshusha bei ni 2500 per lt angalau kalita 2 kanaenea.

Ifike mahala magari wamiliki kina RRONDO tu!
Tena passo na vitz zipigwe marufuku kabisa main road ili jam ipungue[emoji23][emoji23]
 
Ah we lita 2 jamani!gari??
Haya ni madhara ya kila mtu kutaka kumiliki gari hata wasio na uwezo.
Bora siku hizi tumeshusha bei ni 2500 per lt angalau kalita 2 kanaenea.

Ifike mahala magari wamiliki kina RRONDO tu!
Tena passo na vitz zipigwe marufuku kabisa mtaani ili jam ipungue[emoji23][emoji23]
Wakipiga marufuku hizo gari nadhani tutabaki wenyewe tu sasa na wenye mizigo ya maana😂
 
Back
Top Bottom