Hamna Raha kama kujaza full tank,unawacheki tu watu wanakusubiri,wengine wanakuja wanajaza 10,000 wanaondoka wewe upo Tu 😂😂Lini unakuja kwetu kujaza full tank?
Nawapenda wateja wa full tank,,akifika hana mbwembwe,anasema tu 'jaza'.
Aisee 😂😂😂Wazee wa full tank huwa mara nyingi wanaacha chenji.
Hawana shida kabisa ,zaidi anaweza kushuka akapiga stori huku mnamjazia.
Kuna gari zinashindilia wese jamani[emoji119],
Sasa hawa wenzangu na mimi wa tulita nne twa elfu 10 yaani atakusumbua hadi utajuta kumhudumia.
Mara pump mbona imechelewa kuzunguka au umesogeza mbele,,oh usinijazie upepo,,hadi unajiuliza hivi kaelfu 10 kake lita nne namjaziaje upepo!.
Naongea kwa experience.Aisee [emoji23][emoji23][emoji23]
Kwanza kumjazia mtu wa full tank raha sana.Hamna Raha kama kujaza full tank,unawacheki tu watu wanakusubiri,wengine wanakuja wanajaza 10,000 wanaondoka wewe upo Tu [emoji23][emoji23]
Mtusamehe jamani kutoa 10,000/- halafu unapata Lita 3. si masiharaNaongea kwa experience.
Wenye hela huwa hamna shida kabisa.
Ila unakuta mtu amekuja na kapasso yaani unakuta ana elfu 5 tu ila atawajambisha hadi kuja kumjazia cha moto mmekiona..mara mafuta yenu mepesi yanaisha haraka.
Sasa jamani elfu 5 lita 2 mafuta yasiishe haraka kweli!
Na msiombe risiti yake ikatike,itoke kipande,,kuna zile risiti za mwisho rola ikiisha zinatoka vipande.
Wana inferiority complex hawa watu,hadi petro station ni wasumbufu hivyohivyo.
[emoji38]Mtusamehe jamani kutoa 10,000/- halafu unapata Lita 3. si masihara
Nawapaga abiria wangu show tamu sana, huwa wanakiri na wanatamani irudiwe [emoji28]Jini 3,500cc acha kabisa[emoji28] unainjoy kufanya ubabe road!
Ikiisha hii inayofuata yako.Lini unakuja kwetu kujaza full tank?
Nawapenda wateja wa full tank,,akifika hana mbwembwe,anasema tu 'jaza'.
Aah kulaleki [emoji1787][emoji1787][emoji1787] sema tuache utani kuna pump zinakimbia mpaka unahisi unapigwa, bora full haidanganyi nozzle ikikata unajua mmefika mahala pake [emoji1787][emoji1787]Haha na hata muda wa kuangalia hawana ila wengine sasa, mafuta ya 20K tu shingo unaigeuza kama bundi mimacho yote kwenye pump eti unakagua wasiibe. [emoji23][emoji23]
Hata kama unapanda mlima yenyewe inaamka na kufika 180 bila majadiliano3GR nishaikalia kwenye crown GRS202 aisee ile kitu ni kama ndege tunapoongelea smoothness chuma inakata upepo sio masihara speedneedle inaamka na kulalia 180 within a blink na haipoi ikianza ni mpaka inafuta!
Sisi wengine tuishi katika misingi ipi?[emoji38]
Acha kuwasema wenzio.
Ifike mahala wamiliki magari wenye hela tu.
Hili sasa liwe kwenye SUV sio Sedan tena [emoji1787]ivi na 5. 0L au 6.0L zinakuwaje alafu ukute twin turbo [emoji16][emoji16]
Ila kwenye acceleration, utaitaka!Hizo walitakiwa waweke 260kph...sema Mjapan ana akili ukianza kupanda kuanzia 160+ unaona kabisa gari inaachana na lami
Yani kama upepo tu! Ukiendesha Powerful Toyota Engines huwezi kukaa ukadharau gari zao jamaa! Maana pia zinakuwa kwenye gari zilizoundwa vyema pia.Hata kama unapanda mlima yenyewe inaamka na kufika 180 bila majadiliano
Majuzi nilinunua mafuta ya generator nikawekewa kwenye dumu.Mtusamehe jamani kutoa 10,000/- halafu unapata Lita 3. si masihara
Kei car ya mjerumani (1 series au A class) ukilinganisha na kei car ya mjapani ndio wanakuwa worlds apart. Unavyopanda juu tofauti inazidi kupunguaYani kama upepo tu! Ukiendesha Powerful Toyota Engines huwezi kukaa ukadharau gari zao jamaa! Maana pia zinakuwa kwenye gari zilizoundwa vyema pia.
Ila making judgement kwenye vigari vya 2.0L mpaka 1.0L lazma utaiona Toyota kampuni ya hovyo hovyo[emoji23]
Naomba mechi na wewe hiyo 23rd na Mimi napanda na BimmerNishawafikisha ndugu zangu na gari yao DWW nimeitoa mafua, nimepanda Coaster Niko njiani narudi sasa. Kesho nina kazi Dar. Nitapanda huku tena na Fuga on 23rd.
Road trip na ziendelee wakuu.
View attachment 2041330View attachment 2041331
Aiseee 160 RPM iko 6000 duuuhHizi mambo zina wenyewe, na wenyewe ndio sisi.
Yani nimekifinya kile ki 4cylinder 2360cc kinalalamika lakini wapi mi nakibinya tu [emoji1787][emoji1787]
Leo ndio nimejua just how much more powerful the 3.5L is, watu wanavyosua sua kuovertake sio kosa lao, torque hairuhusu.
Kwakweli kisahani hapana kwa hii gari
View attachment 2041340
Niliongelea kabla ya TRA; nilisema tatizo ni TRA kunyoosha goti. Kuna ile ya £17,000. Na kama ukiwa na mtu on the ground, unapata hata kwa pungufu ya hapo.