Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa full tank huwa mara nyingi wanaacha chenji.
Hawana shida kabisa ,zaidi anaweza kushuka akapiga stori huku mnamjazia.
Kuna gari zinashindilia wese jamani[emoji119],


Sasa hawa wenzangu na mimi wa tulita nne twa elfu 10 yaani atakusumbua hadi utajuta kumhudumia.
Mara pump mbona imechelewa kuzunguka au umesogeza mbele,,oh usinijazie upepo,,hadi unajiuliza hivi kaelfu 10 kake lita nne namjaziaje upepo!.
Aisee 😂😂😂
 
Aisee [emoji23][emoji23][emoji23]
Naongea kwa experience.
Wenye hela huwa hamna shida kabisa.


Ila unakuta mtu amekuja na kapasso yaani unakuta ana elfu 5 tu ila atawajambisha hadi kuja kumjazia cha moto mmekiona..mara mafuta yenu mepesi yanaisha haraka.
Sasa jamani elfu 5 lita 2 mafuta yasiishe haraka kweli!

Na msiombe risiti yake ikatike,itoke kipande,,kuna zile risiti za mwisho rola ikiisha zinatoka vipande.
Wana inferiority complex hawa watu,hadi petro station ni wasumbufu hivyohivyo.
 
Hamna Raha kama kujaza full tank,unawacheki tu watu wanakusubiri,wengine wanakuja wanajaza 10,000 wanaondoka wewe upo Tu [emoji23][emoji23]
Kwanza kumjazia mtu wa full tank raha sana.
Yaani full tank ni elfu 3 ,3 za bajaji 50.
Hasa pale mwisho yakishajaa,mwingine anatingisha gari kidogo,mnaanza kubinya pump taratibu huku mnaibana tena hadi yamwagike.

Kuna watu hawana hela ya mawazo hapa duniani.

____________________________.

Kuna gari zinaingia kujaza mafuta,yaani yeye mwenyewe anaogopa,
Mafuta ya elfu 5 pump inazunguka sekunde 2 imeshasimama.
Mtu huyu ukidondosha tone lake hata moja tu utajuta..
Atakupasua kichwa hadi basi.
 
Naongea kwa experience.
Wenye hela huwa hamna shida kabisa.


Ila unakuta mtu amekuja na kapasso yaani unakuta ana elfu 5 tu ila atawajambisha hadi kuja kumjazia cha moto mmekiona..mara mafuta yenu mepesi yanaisha haraka.
Sasa jamani elfu 5 lita 2 mafuta yasiishe haraka kweli!

Na msiombe risiti yake ikatike,itoke kipande,,kuna zile risiti za mwisho rola ikiisha zinatoka vipande.
Wana inferiority complex hawa watu,hadi petro station ni wasumbufu hivyohivyo.
Mtusamehe jamani kutoa 10,000/- halafu unapata Lita 3. si masihara
 
Haha na hata muda wa kuangalia hawana ila wengine sasa, mafuta ya 20K tu shingo unaigeuza kama bundi mimacho yote kwenye pump eti unakagua wasiibe. [emoji23][emoji23]
Aah kulaleki [emoji1787][emoji1787][emoji1787] sema tuache utani kuna pump zinakimbia mpaka unahisi unapigwa, bora full haidanganyi nozzle ikikata unajua mmefika mahala pake [emoji1787][emoji1787]
 
Hata kama unapanda mlima yenyewe inaamka na kufika 180 bila majadiliano
Yani kama upepo tu! Ukiendesha Powerful Toyota Engines huwezi kukaa ukadharau gari zao jamaa! Maana pia zinakuwa kwenye gari zilizoundwa vyema pia.

Ila making judgement kwenye vigari vya 2.0L mpaka 1.0L lazma utaiona Toyota kampuni ya hovyo hovyo😂
 
Yani kama upepo tu! Ukiendesha Powerful Toyota Engines huwezi kukaa ukadharau gari zao jamaa! Maana pia zinakuwa kwenye gari zilizoundwa vyema pia.

Ila making judgement kwenye vigari vya 2.0L mpaka 1.0L lazma utaiona Toyota kampuni ya hovyo hovyo[emoji23]
Kei car ya mjerumani (1 series au A class) ukilinganisha na kei car ya mjapani ndio wanakuwa worlds apart. Unavyopanda juu tofauti inazidi kupungua
 
Hizi mambo zina wenyewe, na wenyewe ndio sisi.

Yani nimekifinya kile ki 4cylinder 2360cc kinalalamika lakini wapi mi nakibinya tu [emoji1787][emoji1787]

Leo ndio nimejua just how much more powerful the 3.5L is, watu wanavyosua sua kuovertake sio kosa lao, torque hairuhusu.

Kwakweli kisahani hapana kwa hii gari

View attachment 2041340
Aiseee 160 RPM iko 6000 duuuh
 
Niliongelea kabla ya TRA; nilisema tatizo ni TRA kunyoosha goti. Kuna ile ya £17,000. Na kama ukiwa na mtu on the ground, unapata hata kwa pungufu ya hapo.
Screenshot_20211212-113126.png
Hii ni Kodi Kwa Jaguar XF ya Mwaka 2010 na mwaka 2015 imesogea mpaka 17 na ya 2020 ni 24 na point.
 
Back
Top Bottom