Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,743
wenye wapenzi wanafaidi eeh 😂😂😂😂.. acha sie wengine tuendelee kupakia samaki wa kula tu, huwezi mpa aendeshe gariKuna pisi moja ilikuwa inapush hii chuma safari ya leo. Mwamba kavimba kushoto kwake. Safi sana aisee
Sasa tulinganishe hii na RunX kweli?
View attachment 2041584
Inabidi tufanye maarifa nikupe card ya wese, uwe unajaza ka tank, maisha kusaidiana mkuu wangu 😊😊😊Wengine tangia gari zinunuliwe hazijui full tank [emoji2][emoji2]
Mbona wanichania mkeka mtoto mzuri 🙄🙄🙄
[emoji23][emoji23][emoji23]Mbona wanichania mkeka mtoto mzuri [emoji849][emoji849][emoji849]
Haha mimi hata gari sina mkuu, nilikuwa naongelea wale ambao gari zao hazijui full tank kila siku lazima wareport kwa gas stations kuweka mafuta ya 10K-20K. [emoji3][emoji3]Inabidi tufanye maarifa nikupe card ya wese, uwe unajaza ka tank, maisha kusaidiana mkuu wangu [emoji4][emoji4][emoji4]
Kuna magari ni makavu jamaniHaha mimi hata gari sina mkuu, nilikuwa naongelea wale ambao gari zao hazijui full tank kila siku lazima wareport kwa gas stations kuweka mafuta ya 10K-20K. [emoji3][emoji3]
Nina rafiki yangu ana kidaihatsu cha 990cc mafuta ya 5K anatumia siku 2 na distance anayozunguka kwa siku kwenda na kurudi haipungui 20km, huyu ni special case kabisa. [emoji2][emoji2]
Hatari [emoji1787][emoji1787]Kuna magari ni makavu jamani
Yaani unakuta mtu akiweka mengi basi ni elfu 10 lita nne.
Aaah! Usiogope 😂😂😂 mie sina shida kabisa tunasaidiana tuHaha mimi hata gari sina mkuu, nilikuwa naongelea wale ambao gari zao hazijui full tank kila siku lazima wareport kwa gas stations kuweka mafuta ya 10K-20K. [emoji3][emoji3]
Nina rafiki yangu ana kidaihatsu cha 990cc mafuta ya 5K anatumia siku 2 na distance anayozunguka kwa siku kwenda na kurudi haipungui 20km, huyu ni special case kabisa. [emoji2][emoji2]
Ifike mahali serikali ipige marufuku watu wasio na hela kutumia magari.Hela ngumu nyie msione tunazurula tu magari tunaugulia wenyewe.
Kuna mteja ashawahi kunitolea stress na elfu 5 yake.Ngoja ukue utayaona...sio magorofa!
Bei gani anauza?
Sasa we unataka uweke full tanki uende wapi aisee😂 shida ya gari ikiwa na mafuta mengi ndio unapata akili za Kijana wa hovyo hovyo kutoka Dar kwenda Cate hotels Moro kunywa kahawa😅 na kurudiKuna magari ni makavu jamani
Yaani unakuta mtu akiweka mengi basi ni elfu 10 lita nne.
Gari inatembelea E- Eliza daily ni mwendo wa kushindana na kuizima taa ya mafuta ikiwaka unaenda sheli kuizima tena unaendelea na misele😅!Haha mimi hata gari sina mkuu, nilikuwa naongelea wale ambao gari zao hazijui full tank kila siku lazima wareport kwa gas stations kuweka mafuta ya 10K-20K. [emoji3][emoji3]
Nina rafiki yangu ana kidaihatsu cha 990cc mafuta ya 5K anatumia siku 2 na distance anayozunguka kwa siku kwenda na kurudi haipungui 20km, huyu ni special case kabisa. [emoji2][emoji2]
Kuna vi IST vina Demons bila shaka, vinakimbiaga sio mchezo😅 kinaweza kikakukata na kupotea usiamini!Last trip ya mchana kuna IST ilinikata, sikuiona tena!
Kama gari iko vizuri na wewe una uwezo mzuri mkuu unaweza kufanya wonders
Ah we lita 2 jamani!gari??Sasa we unataka uweke full tanki uende wapi aisee[emoji23] shida ya gari ikiwa na mafuta mengi ndio unapata akili za Kijana wa hovyo hovyo kutoka Dar kwenda Cate hotels Moro kunywa kahawa[emoji28] na kurudi
Wakipiga marufuku hizo gari nadhani tutabaki wenyewe tu sasa na wenye mizigo ya maana😂Ah we lita 2 jamani!gari??
Haya ni madhara ya kila mtu kutaka kumiliki gari hata wasio na uwezo.
Bora siku hizi tumeshusha bei ni 2500 per lt angalau kalita 2 kanaenea.
Ifike mahala magari wamiliki kina RRONDO tu!
Tena passo na vitz zipigwe marufuku kabisa mtaani ili jam ipungue[emoji23][emoji23]