Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
E bwana wengine waje tuungane kwenye mwendokasi.Wakipiga marufuku hizo gari nadhani tutabaki wenyewe tu sasa na wenye mizigo ya maana[emoji23]
Hutu tu gari ni Mini Cooper iliochangamka😅Kuna pisi moja ilikuwa inapush hii chuma safari ya leo. Mwamba kavimba kushoto kwake. Safi sana aisee
Sasa tulinganishe hii na RunX kweli?
View attachment 2041584
😂😂😂😂😂😂😂Haha na hata muda wa kuangalia hawana ila wengine sasa, mafuta ya 20K tu shingo unaigeuza kama bundi mimacho yote kwenye pump eti unakagua wasiibe. [emoji23][emoji23]
Nimeona kaandika 400,000Bei gani anauza?
imependeza kweli yaniNimeona kaandika 400,000
Hahaaa kweli asee tunajaza ili kuzima taa tu. Hii ndiyo ile inaitwa "hatuli kushiba tunakula kumaliza".Gari inatembelea E- Eliza daily ni mwendo wa kushindana na kuizima taa ya mafuta ikiwaka unaenda sheli kuizima tena unaendelea na misele[emoji28]!
Siku gari ikipigwa F- Mswaki ujue inahama mikoa hio [emoji28]
Hahahahaha eeh ni hivo arifuHahaaa kweli asee tunajaza ili kuzima taa tu. Hii ndiyo ile inaitwa "hatuli kushiba tunakula kumaliza".
Gari unakuta lita moja linaenda 18km, ukizidisha mala lita 4 unapata 72km lina nusa tu 😁😁😁😁Sasa we unataka uweke full tanki uende wapi aisee😂 shida ya gari ikiwa na mafuta mengi ndio unapata akili za Kijana wa hovyo hovyo kutoka Dar kwenda Cate hotels Moro kunywa kahawa😅 na kurudi
Usikute wanaweka engine kubwa zenye turbo, nilishawai kutanayo moja nilipigwa butwaa.. ingawa niliichakazaKuna vi IST vina Demons bila shaka, vinakimbiaga sio mchezo😅 kinaweza kikakukata na kupotea usiamini!
Linanisa kweri kweri hapo safari lazma zisikauke! Kila ukichungulia gauge inasomea kwenye mswaki😅 unaweza ukaanza ku roam around kama kunguru tu!Gari unakuta lita moja linaenda 18km, ukizidisha mala lita 4 unapata 72km lina nusa tu 😁😁😁😁
Wewe mtoto hebu Acha balaa! Sisi ni wabishi tu,maisha haya bila ubishi hayaendiAh we lita 2 jamani!gari??
Haya ni madhara ya kila mtu kutaka kumiliki gari hata wasio na uwezo.
Bora siku hizi tumeshusha bei ni 2500 per lt angalau kalita 2 kanaenea.
Ifike mahala magari wamiliki kina RRONDO tu!
Tena passo na vitz zipigwe marufuku kabisa main road ili jam ipungue[emoji23][emoji23]
Wenye vyombo vya usafiri wanawaongezea tu jam wenye magari.Wewe mtoto hebu Acha balaa! Sisi ni wabishi tu,maisha haya bila ubishi hayaendi
Ilikuwa saa 10 jioni hivi so nilikuwa mpole bado, bnadhani mnafahamu Iringa ilivyo na tochi nyingi na traffic wakorofi.Iliingia kushoto hio
Vintage [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Toyota sometimes wawe serious kidogo...ni nini hiki...!!??[emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]View attachment 2042864
Mkuu taratibu kuna Uzi nimekuta wadada wanalalamika sana tunaziponda Toyota!Toyota sometimes wawe serious kidogo...ni nini hiki...!!??[emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]View attachment 2042864
Hata kama ni vintage, kwa kweli hapana......tatizo la toyota kuna magari ni kama midoli...[emoji85]Vintage [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
...Watatusamehe mkuu..[emoji119][emoji119][emoji119]...Mkuu taratibu kuna Uzi nimekuta wadada wanalalamika sana tunaziponda Toyota!