Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Gari inatembelea E- Eliza daily ni mwendo wa kushindana na kuizima taa ya mafuta ikiwaka unaenda sheli kuizima tena unaendelea na misele[emoji28]!

Siku gari ikipigwa F- Mswaki ujue inahama mikoa hio [emoji28]
Hahaaa kweli asee tunajaza ili kuzima taa tu. Hii ndiyo ile inaitwa "hatuli kushiba tunakula kumaliza".
 
Sasa we unataka uweke full tanki uende wapi aisee😂 shida ya gari ikiwa na mafuta mengi ndio unapata akili za Kijana wa hovyo hovyo kutoka Dar kwenda Cate hotels Moro kunywa kahawa😅 na kurudi
Gari unakuta lita moja linaenda 18km, ukizidisha mala lita 4 unapata 72km lina nusa tu 😁😁😁😁
 
Ah we lita 2 jamani!gari??
Haya ni madhara ya kila mtu kutaka kumiliki gari hata wasio na uwezo.
Bora siku hizi tumeshusha bei ni 2500 per lt angalau kalita 2 kanaenea.

Ifike mahala magari wamiliki kina RRONDO tu!
Tena passo na vitz zipigwe marufuku kabisa main road ili jam ipungue[emoji23][emoji23]
Wewe mtoto hebu Acha balaa! Sisi ni wabishi tu,maisha haya bila ubishi hayaendi
 
Toyota sometimes wawe serious kidogo...ni nini hiki...!!??[emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]
FB_IMG_16394053875198959.jpg
 
Back
Top Bottom