Umenikimbia?😳😳Eeh. I had a road trip juzi usiku to Arusha. Sijaenjoy wala nini. Ni homa na mafua balaa. Full kulala kama pono. Karibuni jamani tuko moshi sasa. Musizidi kuchelewa
Have a nice trip guys.. muwe makini na utelezi. Huku kaskazini mvua zanyeshaa...
Poleni pia wenye homa na mafua, vikohozi etc...
Merry Christmas in Advance
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Barabara nzuri ziko Kigoma Mjini na Ujiji ila za kwenda wilaya nyingine kama Kakonko na Kibondo asilimia kubwa ni za vumbi halafu ni mbovu na vumbi la Kigoma lilivyo jekundu sasa.Kuna Jamaa anaitwa Bwana PGO kafika huko kote na IST...inaonesha barabara ni nzuri hata huko.
Mimi silagi kabisa mkuu. Ila ukiachana na sisi ambao hatuli kabisa kuna wengine wana ujanja huo aliousemea offshore seamen kwamba wanakula vyote hivyo na hawakamatiki.Wewe unakulaga chambo,ndoano na mshipi?
Labda umbali mkuu ila barabara mfano za Kigoma mjini angalau ziko vizuri. Na watu wengi wanaotalii huo mkoa huwa wanaishiaga mjini tu wakishaona ziwa Tanganyika basi isipokuwa kwa wale wenzangu na mimi ambao watataka kuona hadi na vivutio vingine kama national parks na historical sites.Umbali na barabara sehemu kubwa ni vumbi ni miongoni mwa sababu sinazokwa.isha watu wengi kufika magharibi
Haha This Time Hatuendi Mkuu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Eeh. I had a road trip juzi usiku to Arusha. Sijaenjoy wala nini. Ni homa na mafua balaa. Full kulala kama pono. Karibuni jamani tuko moshi sasa. Musizidi kuchelewa
Have a nice trip guys.. muwe makini na utelezi. Huku kaskazini mvua zanyeshaa...
Poleni pia wenye homa na mafua, vikohozi etc...
Merry Christmas in Advance
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Safari nzuri on paper, baada ya muda itakata stimu.40 Days 2022/2023 adventure around Tanzania main land.
1. Gari ipo, Land Rover Defender 110 / 2021 Station Wagon.
2. Wanao hitajika ni wadau watano (5), wanawake watatu (3) na wanaume wawili (2) na mimi mwenyewe jumla tuwe watu sita (6).
3. Wakijitokeza watu wengi zaidi utaratibu wa kupata (ma)gari (me)ngine utafanyika.
4. Tutatembea zaidi ya kilomita 6,000 kwa siku 32, siku 8 zitapotelea katikati kadri tutakavyo amua.
5. Makadirio ya gharama ya mafuta ni 1.8M hadi 2m.
6. Mchango kwa kila mdau itahitajika 1.5m ambayo itagharamia mafuta, chakula, malazi na utalii.
7. Mchango haukusanywi bali kila mmoja ajiwekee akiba benki au popote pale kuanzia sasa hadi mwezi October 2022 panapo majaaliwa ambapo tutafanya kikao na kupanga safari yetu, lengo liwe hadi kufikia 5 Disemba 2022 tuwe tumemaliza mzunguko wetu.
Mawazo chanya, yanakaribishwa, kuhusu Route, gharama, usahihi wa umbali, usalama, nk.
8. Mapendekezo yangu ya route iwe ni kuzunguka pembezoni mwa Tanzania kama ifuatavyo:-
Day 1
Dar - Lindi - Mtwara, almost 600km.
Day 2
Mtwara - Masasi - Mtambaswala, almost 320km.
Day 3
Mtambaswala - Masasi - Songea, almost 500km.
Day 4
Songea - Mbinga - Mbamba bay, almost 180km.
Day 5
Mbamba bay - Songea - Njombe, almost 420km.
Day 6
Njombe - Makete (via Kitulo) - Mbeya, almost 170km.
Day 7
Mbeya - Kasumulu, almost 120km.
Day 8
Kasumulu - Mbeya Tunduma, almost 230km
Day 9
Tunduma - Sumbawanga - Kasanga, almost 350km
Day 10
Kasanga - Sumbawanga - Muze - Lake Rukwa, almost 180k.
Day 11
Lake Rukwa - Muze - Namanyele - Kibaoni - Majimoto, almost 180km.
Day 12
Majimoto - Kibaoni - Stalike - Mpanda, almost 150km
Day 13
Mpanda - Uvinza - Kigoma town, almost 320km.
Day 14
Kigoma - Kasulu - Nyakanazi, almost 350km
Day 15
Nyakanazi - Lusahunga - Nyakahura - Kobero border, almost 150km.
Day 16
Kobero border - Nyamiyaga - Rusumo border, almost 70km.
Day 17
Rusuma - Nyakasanza - Mtukula, almost 250km.
Day 18
Mtukula - Bukoba town, almost 90km.
Day 19
Bukoba - Biharamuro - Geita - Mwanza, almost 450km.
Day 20
Mwanza - Bunda - Musoma - Migori, almost 300km.
Day 21, 22, 23, 24
Migori - Tarime - Serengeti, almost 200km + other 200km.
Day 25, 26
Serengeti - Ngorongoro, almost 70km + 200km.
Day 27, 28
Ngorongoro - Karatu - Arusha, almost 200km.
Day 29
Arusha - Segera - Tanga - Horohoro, almost 550km
Day 30
Horohoro - Tanga town, almost 70km + 50km.
Day 31
Tanga - Pangani - Sadani, almost 200km.
Day 32
Sadani - Bagamoyo - Dar es Salaam, almost 180k.
Karibuni kwa mawazo chanya kwenye uzi wa link hii
40 days 2022/2023 road trip adventure around Tanzania
40 Days 2022/2023 adventure around Tanzania main land. 1. Gari ipo, Land Rover Defender 110 / 2016 Station Wagon kama hiyo hapo chini ila rangi tofauti. 2. Wanao hitajika ni wadau watano (5), wanawake watatu (3) na wanaume wawili (2) na mimi mwenyewe jumla tuwe watu sita (6). 3. Wakijitokeza...www.jamiiforums.com
___________
JBourne59
Hehehe nani? Sithubutu.Umenikimbia?[emoji15][emoji15]
Kheee. Unabaki wapi sasaHaha This Time Hatuendi Mkuu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Nilikua nakuuliza wewe [emoji1][emoji1]
Hahahh nshafika mkoa zamaniNilikua nakuuliza wewe [emoji1][emoji1]
usijari kaka, ipo siku utakuwa ktk mazingira ya kikazi yatakayo kufanya uizunguke nchi kama vasco da gama the explorer.Hongera sana mkuu. Mimi Tz bara sijafika Kigoma, Rukwa na Katavi basi.
Nilimaanisha kuuliza this time hatuendi Mkuu Rombo ??
Nani aliibuka kidedea hapo baina ya farasi mweupe na huyo bibi kizee wa kijerumani?Extrovert na Kijana wa hovyo hovyo chekini hao ndugu zenu wawili leo walikuwa wanafukuzana kwenye ile barabara yenu ya Mandela
Sijui watu wanapataga wapi ujasiri wa kufukuzana Dar kwenye foleni hasa Mandela road ile barabara ilivyo na malori shazi yanayoovertake hovyo hovyo tu View attachment 2051795
Hahaaa eti bibi kizee wa kijerumani, huo sasa ni utani wa ngumi. Hata sijui mwanzo nilikuwa nao sambamba naenjoy ligi yao, ila baadaye wakapepea sijui nani aliibuka mshindi huko mbele.Nani aliibuka kidedea hapo baina ya farasi mweupe na huyo bibi kizee wa kijerumani?
Sema weaving huwa tamu ila iwe muda ambao hamna jam kubwa kama usiku huo mkeka huwa mtamu kweli yani! Hio njia ukiipita kuanzia saa 4.30 usiku utapapenda.
Ulikubalije wakuache😅, hilo bmw ni la 2005 very aged huwezi fananisha na 2016 landcruiser ki horsepower ki Torque na wala kiuzuri!😅Hahaaa eti bibi kizee wa kijerumani, huo sasa ni utani wa ngumi. Hata sijui mwanzo nilikuwa nao sambamba naenjoy ligi yao, ila baadaye wakapepea sijui nani aliibuka mshindi.
Unaanzisha ligi ya Ujerumani na Mjapan, maana mbele hapo kuna BMW X5 na nyuma na VXR V8 😂😂😂Extrovert na Kijana wa hovyo hovyo chekini hao ndugu zenu wawili leo walikuwa wanafukuzana kwenye ile barabara yenu ya Mandela
Sijui watu wanapataga wapi ujasiri wa kufukuzana Dar kwenye foleni hasa Mandela road ile barabara ilivyo na malori shazi yanayoovertake hovyo hovyo tu View attachment 2051795
Haha tatizo malori yalinikosesha uhondo na wao walikuwa wanajitahidi kuyakata ili wapate mwanya wa kuendelea kushindana. Basi tu naona bimmer aliamua kupima upepo.Ulikubalije wakuache[emoji28], hilo bmw ni la 2005 very aged huwezi fananisha na 2016 landcruiser ki horsepower ki Torque na wala kiuzuri![emoji28]
Haha siyo mimi ni hao ndugu zenu ndiyo walianzisha ligi mie nilikuwa mtazamaji tu. Bimmer maniacs wanajiamini sana kuna wakati wanavimba na hawajali kabisa uwezo wa wanaowavimbia.Unaanzisha ligi ya Ujerumani na Mjapan, maana mbele hapo kuna BMW X5 na nyuma na VXR V8 [emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahahahah bimmer aliingia cha kike hapo!Haha siyo mimi ni hao ndugu zenu ndiyo walianzisha ligi mie nilikuwa mtazamaji tu. Bimmer maniacs wanajiamini sana kuna wakati wanavimba na hawajali kabisa uwezo wa wanaowavimbia.