Namba E ya mchongo hio...hamna kitu hapo!...Mwee..
Kuna ukweli hapa, au wabongo wameshaanza mambo ya photoshop...[emoji2960][emoji2960][emoji2957][emoji2957]View attachment 2052225
[emoji2957][emoji2957][emoji2957]Namba E ya mchongo hio...hamna kitu hapo!
Ipi ile ya Bimmer vs LC V8 auHii ligi yenu mkiipeleka kwenye ile thread itapendeza sana.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Aisee! Kwahio wewe kama mkizi, ukiamua unarukia mtumbwi mwenyewe mvuvi ale bila purukushani?!!
Haha hilo lilikuwa ni swali mkuu sema tu sikuweka kiulizo! Nilimuuliza nikimaanisha this time haendi kwao sehemu inaitwa Mkuu iko Rombo!Huendi wewe watu wanafanya services ndogo ndogo waamshe vyuma. Teh teh teh.....
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mpaka uzivae marantatu hivi ndio akili inakaa sawaCha ajabu niliambiwa humu kuwa zipo,ila nilipiga hio moja!
Kwakweli mkuu umetembeai feel proud to say that mimi ni mmoja ya watz ambao nimeizunguka sana hii nchi kwenye roadtrip zangu mbalimbali mijini na vijijini.
mda huu nikiwa naandika comment hii, nipo hapa "kanda maalum" musoma nimekuja kikazi.
mikoa ambayo nimebakisha kufika ni michache sana ikiwemo rukwa, kigoma na pemba(kama inavyonekana kwenye ramani).
View attachment 2050379
Ooh nimeelewa.Haha hilo lilikuwa ni swali mkuu sema tu sikuweka kiulizo! Nilimuuliza nikimaanisha this time haendi kwao sehemu inaitwa Mkuu iko Rombo!
Hahaa huyo si ndiyo kuna watu wanamuita samaki nyoka sijui? Huyo mbona analiwa tu (japo binafsi naona ajabu) ila kuna samaki wengine hawafai kabisa kwa matumizi ya binadamu!Acha hizo watu tunakula hadi mkunga(eel) [emoji23][emoji23][emoji23]
Eeh. I had a road trip juzi usiku to Arusha. Sijaenjoy wala nini. Ni homa na mafua balaa. Full kulala kama pono. Karibuni jamani tuko moshi sasa. Musizidi kuchelewa
Have a nice trip guys.. muwe makini na utelezi. Huku kaskazini mvua zanyeshaa...
Poleni pia wenye homa na mafua, vikohozi etc...
Merry Christmas in Advance
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Duh niunge?
hata kama ana sumu analiwa.. na hakunaga madhara kwa sie wazoefuHahaa huyo si ndiyo kuna watu wanamuita samaki nyoka sijui? Huyo mbona analiwa tu (japo binafsi naona ajabu) ila kuna samaki wengine hawafai kabisa kwa matumizi ya binadamu!
If i were you i Wouldn't fish some species [emoji4][emoji4]Tunakulaga tu
For God's sake [emoji849][emoji849]hata kama ana sumu analiwa.. na hakunaga madhara kwa sie wazoefu