Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

i feel proud to say that mimi ni mmoja ya watz ambao nimeizunguka sana hii nchi kwenye roadtrip zangu mbalimbali mijini na vijijini.

mda huu nikiwa naandika comment hii, nipo hapa "kanda maalum" musoma nimekuja kikazi.

mikoa ambayo nimebakisha kufika ni michache sana ikiwemo rukwa, kigoma na pemba(kama inavyonekana kwenye ramani).


View attachment 2050379
Kwakweli mkuu umetembea
 
Eeh. I had a road trip juzi usiku to Arusha. Sijaenjoy wala nini. Ni homa na mafua balaa. Full kulala kama pono. Karibuni jamani tuko moshi sasa. Musizidi kuchelewa
Have a nice trip guys.. muwe makini na utelezi. Huku kaskazini mvua zanyeshaa...
Poleni pia wenye homa na mafua, vikohozi etc...

Merry Christmas in Advance

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app

Nipo njiani muda huu..

Nimeanza safari..Arusha..Lushoto..Mbeya.. tuombe uzima
 
Back
Top Bottom