Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Ndicho nilichokuwa nakifanya jana

Msafara ulikuwa unaenda kwa batch

Kila batch unayoipita ni shida honi lazima ihusike

Nilishazoea heavy duty [emoji1787]
Exactly [emoji28][emoji28] ukipita batch nzima una kama dakika 15 za kutamba mwenyewe then unakuta batch nyingine unaanza kuwakata.

Bunju - Bagamoyo batch zinakuwa na gari nyingi,
Bagamoyo - Msata batch inakuwa na gari 8-10,
Msata - Segera batch zinapungua, average gari 5
Kuanzia Mombo huko ndio watu wanaanza kujitofautisha, unakata gari 3 unatembea.

Kadri barabara inavyofunguka ukubwa wa batch unapungua.
 
Kabisa

Upo sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…