Wigelekelo
JF-Expert Member
- Sep 2, 2018
- 8,758
- 26,885
Utakuwa umeingia Mo town sasa..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utakuwa umeingia Mo town sasa..
Ukienda makumbusho ni road trip piaOhoo.. Wa dar huwa hatuna trip asee [emoji16][emoji16]
Nimeshapumzika vya kutosha napiga stories na niliowakuta hapaUtakuwa umeingia Mo town sasa..
Karibu sanaNimeshapumzika vya kutosha napiga stories na niliowakuta hapa
Sio mlimani city 😁😁😁Ukienda makumbusho ni road trip pia
Jisogeze hapo
Umenikumbusha, acha nisogee hapo naweza okota dagaaaUDBS wamemaliza test wako wanaranda randa sahizi... [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Infiniti [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]260KPH ni deinjaaah[emoji28] na akipewahio hamna kenge atamgusa! It takes a Lexus to have 260KPH or infinity. Other than that we should consinder our autobhan fellows
Napitaga na honi kwasababu hii. Na nakuwa naangalia tairi la mbele la nnayempita. Likicheza tu mguu kati na honi juu.Muwe makini na side mirrors zenu when switching lanes!
View attachment 2055612
Hahahahah ni nomaNapitaga na honi kwasababu hii. Na nakuwa naangalia tairi la mbele la nnayempita. Likicheza tu mguu kati na honi juu.
Ndicho nilichokuwa nakifanya janaNapitaga na honi kwasababu hii. Na nakuwa naangalia tairi la mbele la nnayempita. Likicheza tu mguu kati na honi juu.
Exactly [emoji28][emoji28] ukipita batch nzima una kama dakika 15 za kutamba mwenyewe then unakuta batch nyingine unaanza kuwakata.Ndicho nilichokuwa nakifanya jana
Msafara ulikuwa unaenda kwa batch
Kila batch unayoipita ni shida honi lazima ihusike
Nilishazoea heavy duty [emoji1787]
KabisaExactly [emoji28][emoji28] ukipita batch nzima una kama dakika 15 za kutamba mwenyewe then unakuta batch nyingine unaanza kuwakata.
Bunju - Bagamoyo batch zinakuwa na gari nyingi,
Bagamoyo - Msata batch inakuwa na gari 8-10,
Msata - Segera batch zinapungua, average gari 5
Kuanzia Mombo huko ndio watu wanaanza kujitofautisha, unakata gari 3 unatembea.
Kadri barabara inavyofunguka ukubwa wa batch unapungua.
Kesho kinawaka wapi mjini?Karibu sana
Tukutane Havanna baadae
Kikubwa ambacho nilikuwa nakifanyaKabisa
Upo sawa
Moshi pazuriKesho kinawaka wapi mjini?
Sijapita mtu kwenye 50 kuanzia kukuche [emoji23][emoji23][emoji23] nimekubali unyongeKikubwa ambacho nilikuwa nakifanya
Ni kuwakata ndani ya 50 kph
Wengi mle wanatembea na 30/40 kph
Asante kwa taarifaMoshi pazuri
Hugo's
Manyelez
Woodland na Redstone
Ndio starehe zinakopatikana Moshi
Usisahau malindi[emoji1787]